Elections 2010 Wengine huniita 'SUGU' ndani ya Mbeya mjini

Luteni

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,274
302
DSC05881.jpg

Akina mama wa Itende wakisalimiana na mgombea ubunge Joseph Mbilinyi
DSC06007.jpg

Wananchi wa Nsalaga wakisikiliza kwa makini katika mkutano
DSC06018.jpg

Mgombea wa ubunge Joseph Mbilinyi akizungumza na wananchi​


DSC06006.jpg

Wananchi wa Nsalaga wakisikiliza kwa makini sera za CHADEMA jijini Mbeya
DSC06016.JPG

Kulia ni mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Mbeya na Wana CHADEMA akibadilishana mawazo katika moja ya mikutano ya kampeni jijini Mbeya
DSC05691.JPG

Mkereketwa wa CHADEMA akiwa amebandika picha ya kampeni katika shati lake kama alivyokutwa maeneo ya Ilemi darajani huku akiwa ameshika kadi ya kupigia kura mkononi
DSC05876.JPG


DSC05955.JPG

G SOLO akiimba pamoja na umati mkubwa wa watu katika moja ya mikutano ya kampeni za mgombea ubunge bwana Joseph Mbilinyi
DSC05890.jpg

Akina mama hawa walisimamisha gari ya mgombea ili wampe baraka zao Joseph mbilingi ( SUGU )​





DSC05514.JPG


Sugu akifika eneo la mabatini​




DSC05525.JPG

Umati wa watu waliofika kumsikiliza sugu​




DSC05540.JPG

Mmoja wa Kamanda wa CHADEMA akiongea na wananchi​




DSC05558.jpg

Bwana Joseph Mbilinyi akiongea na wananchi wa Mabatini​






scan0045.jpg

Hapa Msafara wa Joseph Mbilinyi ukipita katika jiji la Mbeya mjini
scan0047.jpg
Hapa akinadiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Mbeya

scan0046.jpg

Wananchi wakipunga mkono kudhiirisha kumkubali Sugu kuwa Mbunge wao
scan0049.jpg

Makamanda wa CHADEMA wakiweka njia kwa ajili ya Sugu kupita
scan0048.jpg

Moja ya Gari linatumika kwa PA katika kampeni za Sugu​




DSC05664.JPG


Wananchi wa Mwansekwa waki mkaribisha Mheshimiwa JOSEPH MBILINYI
DSC05625.JPG

JOSEPH MBILINYI (Mr II ) aki hutubia wananchi
DSC05656.JPG

Mwenyekiti wa CHADEMA Mbeya nae alikuwa na jambo la kuzungumza na wananchi
DSC05660.JPG

Hapa Mr Mbwembwe ali kua akitoa buruda ni kwa wakazi wa mwansekwa
DSC05682.JPG



POLICE pia wali kuwepo eneo la mkutano iliku hakikisha usalama unakuwa ni wakutosha​
 
Wakuu nimetoka mbeya juzi na bahati nzuri nimehudhulia mkutano wa ccm na mbunge wao mpesya uliofanyika uyole - sokoni inasikitisha saaana yaani ukisikia kampeni za maji taka ndo za ccm mbeya mjini, kwanza ulikuwa hauna msisimko kabisa, majungu na matusi mengi na watu hawakuwepo, yaani noma. Si kawaida kwa uyole kutokuhudhulia kikao cha ccm nilishangaa sana, sugu anawachemsha kishenzi!
 
akifika na Dr Slaa, sijui halli itakuwaje huko....

E bwana kweli sisiemu wanakazi nzito, maana sasa hivi wananchi hawahongeki, labda kupigiwa magoti ndo imekuwa mpya watawasikiliza!!!!!!!, Kama wanaagalia hali ya hewa, basi wasome alama za nyakati!
Unajua kinachowaunganisha wa tanzania kwa sasa ni UMASIKINI!!!!!!!!, sisiemu walitambue hilo!
 
My fingers are always cross tight for SUGU......He will make it at Last am sure..........
 
Juzi nilipita Nzovwe nikakuta Mpesya anahutubia kikundi cha watu kama 15 hivi baada ya hapo akakibeba hicho kwenye kilory fulani akaenda kukihutubia tena sehemu nyingine! Jamani kwa mlioko Mbeya Nadhani mkishirikiana na Sugu vyema Jimbo anachukua tena kwa Kishindo
 
Juzi nilipita Nzovwe nikakuta Mpesya anahutubia kikundi cha watu kama 15 hivi baada ya hapo akakibeba hicho kwenye kilory fulani akaenda kukihutubia tena sehemu nyingine! Jamani kwa mlioko Mbeya Nadhani mkishirikiana na Sugu vyema Jimbo anachukua tena kwa Kishindo

duh hiyo ni kali ya mwaka haaaahaaaa kwa hiyo kakundi anakatubia karibu kila mahali?
 
Aendelee kujenga uzalendo kwa kizazi kijacho, maana hao watoto hawatapiga kura mwaka huu!
 
Wakuu kwa siku chache nilizokaa Mkoani Mbeya, nimegundua kwamba Mpesya ana wakati Mgumu, Kumbukeni Kwamba JK alishapita Mbeya, sasa Dr.Slaa akifika Mbeya sijui itakuwaje maana Wasafwa wanamsubiri kwa Hamu sana
 
Tuwaunge mkono hasa sisi tunaojua umuhimu wa changamoto wanazotoa chadema katika kutuboreshe Tanzania yetu kwa kuwahima na kuwapa moyo vijana na watanzia waliokata tamaa kwenda kupiga kura oct 31,katika maongezi yetu ya kila siku face to face and other means. On my views mtaji wa ccm ni hawa oportunists na wenye personal visions and missions and not for nation
 
Picha zinaonyesha nguvu ya Chadema katika mkoa wa Mbeya basi kampeni ya nyumba kwa nyumba zianze na mikakati mikali ya kulinda kura iwekwe kwani WaCCM na Usalama wa Taifa wanasuka njama ya wizi wa kura. Karibu na uchaguzi kutakuwa na vitisho vingi sana kutioka polisi na Tume ya Uchaguzi ambavyo vitawataka wapiga kura, baada ya kupiga kura, kuondoka viituoni. Hivyo ni lazima vyama vyote vya ushindani vikatae amri hiyo na badala yake kuwataka wapiga kura kubakia pale vituoni mpaka kura zote zihesabiwe na kutangazwa. Mawakala wote ni lazima walishwe yamini kwamba watatekeleza zoezi la kusimamia na kuhesabu kura kwa moyo wao wote. Yule atakayesailit ajue kuwa atakumbana na nguvu ya umma. Hiyo ndiyo njia pekee ya kuhakikisha kuwa wizi wa kura haufanyiki.
 
Back
Top Bottom