Wengine hatumpendi Mungu tunajilazimisha tu

Wengine hatumpendi Mungu tunajilazimisha tu

Katuondolea vipenzi vyeti ametuacha na majonzi yasiyoisha.
mkuu kumbuka wakati Mungu anamuumba mwadamu haikuwa lengo lake mwanadamu kufa ila alimwambia utakapo kula mtu huo ni hakika utakufa.

Na mimi na wewe tunajua kabisa kuwa shetani ndio sababu ya mwanadamu kula lile tunda kwa maana yeye ndie alie washawishi hivyo ni Lucifer anapaswa kulaumiwa juu ya vifo vya wanadamu.
 
Sasa Naja naja haya malalamiko umeleta huku unataka tukusaidieje?

Afu kuna mada nyingi tu za kipuuzi unaweza kuanzisha na ukapata wachangiaji.
Fanyeni dhihaka na vitu vingine, si Mungu.

Vitisho kama hivi 👆🤔🤔

Mungu wa vitisho kwa watu wake ni Mungu mwenye stress kupita kawaida
 
Back
Top Bottom