proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 5,409
- 6,985
Kutokana na mihangaiko ya maisha watu wengi hawana afya akili. Japo akili inaweza kutokuwa na afya kwa sababu ya madawa, pombe, magonjwa na kulogwa pia japokuwa watu wengine hawaamini katika uchawi.
Dalili zifuatazo zinaweza kukudhihirishia kuwa huwa huna afya ya akili.
Kutokuwa na furaha mda mrefu na kuwa na mawazo ya kujiua.
Kuhisi umefikia mwisho baada ya mambo yako kukwama au kile ulicho kitaka kugoma yaani umekata tamaa kabisa na hutaki kufanya chochote.
Kulewa sana au kutumia madawa ya kulevya ili kujisahaulisha na kitu kinachokusumbua akili.
Kulala sana au kutokupata usingizi mara kwa mara kwa kipindi kirefu.
Kuongea mwenyewe ama kusikia unaongea kuongea na watu ambao huwaoni. Ambapo hutokea mara kwa mara. (Public speakers ni kawaida kujiongelesha kama maandalizi na sio tatizo ni practise).
Kukasirika mara kwa mara na kutaka kuumiza au kujeruhi ama kuua watu.
Kujitenga au hutaki kuonana na watu kabisa.
Nini kifanyike ukiona hizo dalili.
Tafuta mtu wa kumweleza matatizo ni changamoto za maisha. Usikae na jambo kifuani.
Rudhika au achana na jambo ambalo huliwezi kwa nguvu zako mwenyewe.
Omba msaada kwa wale wenye uwezo wa kukusaidia.
Jichanganye na watu.
Fanya yale yanayokufurahisha kama vile kucheza mpira n.k