Wengi wetu akili zetu hazina afya kutokana mambo mbalimbali

Status
Not open for further replies.

proton pump

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
5,363
6,900
Kutokana na mihangaiko ya maisha watu wengi hawana afya akili. Japo akili inaweza kutokuwa na afya kwa sababu ya madawa, pombe, magonjwa na kulogwa pia japokuwa watu wengine hawaamini katika uchawi.

Dalili zifuatazo zinaweza kukudhihirishia kuwa huwa huna afya ya akili.

Kutokuwa na furaha mda mrefu na kuwa na mawazo ya kujiua.

Kuhisi umefikia mwisho baada ya mambo yako kukwama au kile ulicho kitaka kugoma yaani umekata tamaa kabisa na hutaki kufanya chochote.

Kulewa sana au kutumia madawa ya kulevya ili kujisahaulisha na kitu kinachokusumbua akili.

Kulala sana au kutokupata usingizi mara kwa mara kwa kipindi kirefu.

Kuongea mwenyewe ama kusikia unaongea kuongea na watu ambao huwaoni. Ambapo hutokea mara kwa mara. (Public speakers ni kawaida kujiongelesha kama maandalizi na sio tatizo ni practise).

Kukasirika mara kwa mara na kutaka kuumiza au kujeruhi ama kuua watu.

Kujitenga au hutaki kuonana na watu kabisa.

Nini kifanyike ukiona hizo dalili.

Tafuta mtu wa kumweleza matatizo ni changamoto za maisha. Usikae na jambo kifuani.

Rudhika au achana na jambo ambalo huliwezi kwa nguvu zako mwenyewe.

Omba msaada kwa wale wenye uwezo wa kukusaidia.

Jichanganye na watu.

Fanya yale yanayokufurahisha kama vile kucheza mpira n.k
 
Yote haya mkuu umelenga kabisa penyewe, kwenye waliowengi kwa dunia ya sasa, kwa asirimia kubwa kwa afrika, tumejaa tamaa kwa watu wa karne 21, imekua lazima tuwe hivi asipokua hivyo hakili inavulukika, na presha . Ni hatari sana tunakoeleka, naomba litokee shirika la kuelimisha na kushukulika na hili jambo, na lenye kauli mbiu, sio lazima wewe uwe hivi, sio lazima, kupata hivi hapa duniani.
 
Maisha hayajawahi kuwa poa ...Hii dunia ukifikiria sana unajinyonga mda sio mrefu.
 
Yote haya mkuu umelenga kabisa penyewe, kwenye waliowengi kwa dunia ya sasa, kwa asirimia kubwa kwa afrika, tumejaa tamaa kwa watu wa karne 21, imekua lazima tuwe hivi asipokua hivyo hakili inavulukika, na presha . Ni hatari sana tunakoeleka, naomba litokee shirika la kuelimisha na kushukulika na hili jambo, na lenye kauli mbiu, sio lazima wewe uwe hivi, sio lazima, kupata hivi hapa duniani.
Dini ndio inatibu yote,watu wanayouajua maandiko hawapati shida ya afya ya akili
 
Ila mpk mtu anakuwa na mawazo ya kujiua na mwisho wa siku anajiua ujue kuna vitu vitakuwa vimemzonga si mchezo mana kikawaida ya kiumbe hai chochote cha kwanza anaogopa mufa hata sisimizi ss leo hii mtu ajitoe uhai mwenyew ujue n kitu kikubwa kimemkumba
 
Yote haya mkuu umelenga kabisa penyewe, kwenye waliowengi kwa dunia ya sasa, kwa asirimia kubwa kwa afrika, tumejaa tamaa kwa watu wa karne 21, imekua lazima tuwe hivi asipokua hivyo hakili inavulukika, na presha . Ni hatari sana tunakoeleka, naomba litokee shirika la kuelimisha na kushukulika na hili jambo, na lenye kauli mbiu, sio lazima wewe uwe hivi, sio lazima, kupata hivi hapa duniani.
Asante kwa mawazo kwa wanaohitaji huduma ya kisaikolojia wanione PM ni bure
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom