Wengi Wanashindwa kujua wapi ataipata mashine imara Kama ni miongoni Pitia Hapa

Mnazo mashine za ku pack. Yaani mkanda wa packets unaweka vitu na zinabana packets tayari kwa kuuza.
 
Kuanzia mayai 100 mnauzaje size hiyo incubator
* TUNAHUSIKA NA UTENGENEZAJI WA INCUBATOR ZENYE VIWANGO BORA TANZANIA*

Mayai 30 Tsh 400,000
Mayai 60 Tsh 450,000
Mayai 90 Tsh 500,000
Mayao 120 Tsh 700,000
Mayai 180 Tsh 800,000
Mayai 240 Tsh 900,000
Mayai 264 Tsh 1000,000
Mayao 352 Tsh 1,200,000
Mayai 440 Tsh 1,400,000
Mayai 528 Tsh 1,750,000
Mayai 704 Tsh 1,850,000
Mayai 880 Tsh 1,900,000
Mayi 1056 Tsh 2,100,000
Mayai 1408Tsh 2,650,000
FULL WARRANTY 1 YEAR

TUPO DAR ES SALAAM
 
Incubators
 
Mkuu nipatie bei ya kukamua na kuchuja mafuta ya alizeti
Hii kutokana na gharama zake kuwa kubwa za utengenezaji kwa sasa ni million kumi na nane ikiwa na uwezo wa kukamua gunia tano kwa saa na kuzichuja kubwa yake gunia kumi kwa saa na hizi machine ni pamoja na heater

Mafuta yake safi kama haya
 
Machine za tofali imara na bora zenye kuzingatia ubora wa mota na bati zinazotumika
 
Mkuu nipatie bei ya kukamua na kuchuja mafuta ya alizeti
Mkuu Kwa sasa bei zake ni million kumi na nane kama utataka iwe full yaani heater Zeke na filter zake pia inakuwa na tank mbili

Machine ya alizeti nakushauri sio ya kukurupuka ni kutulia
 
Asante sana mkuu tunaweza kukutengenezea japo kuna baadhi kutokana na gharama zinapokuwa juu tunakushauri ni vizuri ununue china

Ila ukihitaji tukufanyie mfumo automatically kuanzia kusafisha mpaka kuyasaga mahindi yako na kuifanya packaging linawezekana vizuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…