Ahsante sana mkuu
hahaaaa mbavu zangu wengine nyota za bundi 40+ hajazaa wala kupata mtu unakuta akipata game moja mwenzie kapokea afanyeje aandike in a relationship?
napendaga ile 'complicated' iko ki uwindaji hivi
Duh....... kuanzia sasa....
I'm not single, I'm album..... baaaaasi
hata kama hujazaa kama una mtu na we ni mwaminifu upo committedhahaaaa mbavu zangu wengine nyota za bundi 40+ hajazaa wala kupata mtu unakuta akipata game moja mwenzie kapokea afanyeje aandike in a relationship?
napendaga ile 'complicated' iko ki uwindaji hivi
we unadhani wanaokatwa mapu...bu na mkasi wanaingiaje mkengeAcha kukariri wengine wapo single kweli....
Ila kuna ukweli fulani kwamba sio wanaosema single wapo kweli single
Mfano unaeza kuwa kwenye relation ambayo haielewi saana soo ukipata mtu mwingine ambae anakufaa zaid lazima useme upo single....
Pia vile vile kwa boys wengi ni vigum kusema upo kwenye relation koz utakosa fulsa..he he mtoto mzur anakuuliza upo single!???nawewe unasema hapana....