Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,964
Wengi niliozungumza nao hasa wa chama cha kijani wanajutia sana uamuzi walioufanya 2015 na wanaapa kutofanya makosa 2020. Sitaki kuwalaumu kutokana na presha iliyokuwepo uchaguzi uliopita lakini pia hili ni fundisho tosha kuwa chama cha kijani ni kile kile na tusitegemee mabadiliko. Kama wameweza kuongoza kwa zaidi ya miaka 55 lakini bado tuna changamoto lukuki nadhani ni muda muafaka wa kuwakabidhi nchi wengine waje na fikra mpya za maendeleo.
Sitaki kusema kwamba hao watakaokabidhiwa nna uhakika wa 100% kwamba watatuvusha lakini naamini watajitahidi kutupeleka kwenye njia tunayoitegemea (80%) ili chaguzi zinazofwata waweze kukabidhiwa tena nchi.
Watanzania wenzangu tusifanye makosa 2020.