Wengi wanajutia maamuzi waliyofanya 2015

Wengi wanajutia maamuzi waliyofanya 2015

Alafu mbadala ndo Kingunge, lowassa, sumaye na genge lao la wanafiki kina Mbowe wasiomaanisha wakisemacho?? Watanzania 2020 itakuwa ni kimbunga, utashangaa mwenyewe JPM atavyozoa kura nyingi, ngome za ukwwa zinapumulia mashine nazo.

Mkuu nilivyoona wanaccm wanapokelewa ndani ya hafla ya jeshi nikajua hata jeshi halitakuwa tayari chama chao kitoke madarakani.
 
Ukiona mtu Ana fikiria vitu vya nyuma jua huyo ni mtu mfu kifikra.

Sikuchagua CCM ila sitarudia ilo kosa daima, nimegundua CCM na mpiganaji ni sawa na maji na samaki.
 
Sisi korosho zetu zilikuwa kilo 700-1000 sasa hivi 4000 hata hatujutiii 2020 ccm ndo habari ya mjini.
 
Wengi niliozungumza nao hasa wa chama cha kijani wanajutia sana uamuzi walioufanya 2015 na wanaapa kutofanya makosa 2020. Sitaki kuwalaumu kutokana na presha iliyokuwepo uchaguzi uliopita lakini pia hili ni fundisho tosha kuwa chama cha kijani ni kile kile na tusitegemee mabadiliko. Kama wameweza kuongoza kwa zaidi ya miaka 55 lakini bado tuna changamoto lukuki nadhani ni muda muafaka wa kuwakabidhi nchi wengine waje na fikra mpya za maendeleo.

Sitaki kusema kwamba hao watakaokabidhiwa nna uhakika wa 100% kwamba watatuvusha lakini naamini watajitahidi kutupeleka kwenye njia tunayoitegemea (80%) ili chaguzi zinazofwata waweze kukabidhiwa tena nchi.

Watanzania wenzangu tusifanye makosa 2020.
Acha wajute, walijua Magu Hawezi kujisimamia, hivyo business will be as usual.
Mambo ndivyo sivyo,

Makonda piga kaziiiii, hapa kazi tu
Magufuli oyeeeeeeee!
 
Sisi korosho zetu zilikuwa kilo 700-1000 sasa hivi 4000 hata hatujutiii 2020 ccm ndo habari ya mjini.
Kuna mzee alikuja kushtakiwa na watu kuwa mtoto wake wa kike anamsaliti mumewe kwa dealer fulani tu. Akajibu, "Ba mkwe wangu ananiletea laki 1 na huyo mtu munayemsema ananilitea mil 1"

Suala la kujiuliza jee kupanda huku kwa bei ya korosho ni kwa sababu gani? Yasije yakakukuteni yaliyowakuta wakulima wa mbaazi!
 
Mwingine yupi wa kumpa nchi???

Labda Hashim Rungwe.
Hivi haiwezekani kwa kijana wa umri wa miaka 24 kuwa na wadhifa wa urais, na uwaziri nadhani ni muda muafaka kwa kijana kama mimi kugombea uwadhifa katika uchaguzi ujao 2020.
 
Wanaojutia ni members wa jf tu .ila huku mitaani watu wamenenepa tunakula fresh majumbani kwetu wote wanamkubali magufuli
Mitaani wapi mkuu labda chato na kolomije lakini kulikobaki vilio tu na kusaga meno.
 
Ili uone ulichokiandka ni pumba subiri 2020...afu uje tumia huu uzi wako kurekebisha akili yako.
Mkuu 2020 ni mbali
Kuna uchaguzi wa Arumeru
Na uchaguzi wa serikali za mitaa soon
Wataelewa tofauti ya wazarendo na watetea mafisadi!
 
Sisi tutakufa na CCM yetu jamani msitupangie makandomakando yenu hukohuko. Kwa raha zetu.
 
Kwan mabadirko yap unayataka Fanya kaz kjanaa mbona watu wenye akili tunaona uongoz Wa mzee uko vizur
 
Acha wajute, walijua Magu Hawezi kujisimamia, hivyo business will be as usual.
Mambo ndivyo sivyo,

Makonda piga kaziiiii, hapa kazi tu
Magufuli oyeeeeeeee!
Anachosimamia ni nini?
 
Mlizoee miteremko Hapa kazi tu Magu kazaa badoo mtaisoma namba sijui shangazi cjui mjomba anafanya kazi wap. Hatuelewi hilo sisi tunajilimia zetu hata hatujazoea hayo ya kubebana. Magu chaguo namba #1
 
Wengi niliozungumza nao hasa wa chama cha kijani wanajutia sana uamuzi walioufanya 2015 na wanaapa kutofanya makosa 2020. Sitaki kuwalaumu kutokana na presha iliyokuwepo uchaguzi uliopita lakini pia hili ni fundisho tosha kuwa chama cha kijani ni kile kile na tusitegemee mabadiliko. Kama wameweza kuongoza kwa zaidi ya miaka 55 lakini bado tuna changamoto lukuki nadhani ni muda muafaka wa kuwakabidhi nchi wengine waje na fikra mpya za maendeleo.

Sitaki kusema kwamba hao watakaokabidhiwa nna uhakika wa 100% kwamba watatuvusha lakini naamini watajitahidi kutupeleka kwenye njia tunayoitegemea (80%) ili chaguzi zinazofwata waweze kukabidhiwa tena nchi.

Watanzania wenzangu tusifanye makosa 2020.
 
Alafu mbadala ndo Kingunge, lowassa, sumaye na genge lao la wanafiki kina Mbowe wasiomaanisha wakisemacho?? Watanzania 2020 itakuwa ni kimbunga, utashangaa mwenyewe JPM atavyozoa kura nyingi, ngome za ukwwa zinapumulia mashine nazo.
Interest ya watu sio UKAWA wala CHAUMA au CCM, ni nafuu ya maisha na uongozi wenye upendo kwa dhati kwa watu wote na kujiskua huru kama Mtanzania. Kinyume cha hapo, tarajia kura za maruhani tu. Tungekuwa na tume huru kwa maana huru, huyu mtu wenu hatafikisha hata 20% ya kura. Watu wamechoka na dramas mkuu.
 
Nyie mtabaki kujaza karatasi ya kura tu ila ikulu sahauni.
 
Back
Top Bottom