Die to survive
Member
- Jul 21, 2013
- 44
- 14
Sijui ni mkosi nilionao au ni uamifu na mapenzi ya kweli niliokuanayo kwa mpenzi wngu ambae tumeachana bila hata mimi kufaham sababu maalum eti kisa kunikuta ninaongea na rafiki yangu wa kike ambae tumezoena kitambo na yeye pia anamfahamu,duuu yaani unawaka utafikili mbogo alie jeruhiwa kumbe kisa upate sababu ya kuachana na mimi kwa sababu umepata jamaa ambae ananizidi kipato?kumbuka maneno matamu uliokua ukiniambia tulipokuwa pamoja! but mapenzi sio pesa ukae ukifaham maana hata rafiki ako umemwambia kwamba mie ninapesa ya MAWAZO ,Kwa hilo mie cpingi lkn ndio iwe kisa cha kunitosa? Yaani umenifanya niwaone madem wote walaghai