Si ni walewale walioandaliwa na serikali ya ccmmwezi kama huu wanafunzi wako kwenye mtihani ( university examination) , sekondari wako madarasani , najiulize hao vijana Wa chadema bavicha hawasomi?? maana vijana 5000 siyo mchezo!!!kama hawasomi chadema itatuletea viongozi Wa namna gani??
inaruhusiwa kabisa chadema kuwalipia adaBavicha ni wale vijana ambao walifeli darasa mkashindwa kuwaendeleza, ni wale Form 4 ambao wamefeli kwa sababu ya mitaala mibaya, ukosefu wa walimu na mazingira mabaya ya kujifunzia, Bavicha ni vijana waliokosa mikopo ya kwenda vyuo, Bavicha ni vijana walio hitimu vyuo mbalimbali lakini hawana kazi, Bavicha ni vijana ambao wapo vyuoni na tarehe 20 wengi wao watakuwa wamemaliza mitihani.
English medium za nini wakati hiyo English inapanda kuliko wengine wenye DhP? Hao nadhani watakuwa walinyimwa fursa tuu lakini uwezo wanao maana lugha ya kujifunzia wanaijua.khaaa!!Mkuu molembe kwa hiyo unataka kuniambia kuwa asilimia kuwa ya bavicha hawajasoma?? if so chama chako kimechukua hatua gani ?mfano kujenga sekondari au English medium schools!!!!maana nasikia kuna mbunge huko kaskazini alipoulizwa kama anajua kingeleza kasema hajui?umesoma sekondari kasema sikusoma!!
khaaa!!Mkuu molembe kwa hiyo unataka kuniambia kuwa asilimia kuwa ya bavicha hawajasoma?? if so chama chako kimechukua hatua gani ?mfano kujenga sekondari au English medium schools!!!!maana nasikia kuna mbunge huko kaskazini alipoulizwa kama anajua kingeleza kasema hajui?umesoma sekondari kasema sikusoma!!
Mkuu soma post #4 molembe,nilimaanishaivo.Kwahyo bavicha wana copy strategies za ccm?au mi ndo sielew......piga kaz h2onuni ww... unatumwa ukafanye fuko wakat wenzako wapo dar wanakula raha