Wengi wajiunga Chadema Baada ya Ushindi Arumeru

Ndio sababu Mwenyekiti wa Chama amezindua rasmi tarehe 2 Aprili 2012, M4C , (MOVEMENT FOR CHANGE) katika mkutano wa hadhara wa aina yake pale Leganga.
 
Mimi nakaa Arusha mjini nafanya kazi USA-RIVER, nilikuwepo kwenye mkutano wa liganga,this is the best moment for freedom,ningewashauri makamanda walioko mjengoni Dodoma,waakikishe ofisi zao za majimboni zinafanya kazi,kama alivosema Nassari kwamba ataajiri katibu wake kwenye ofisi ya jimbo ili wananchi wapeleke kero zao na mbunge Nassari kuyafanyia kazi,na hata ikiwezekana wawe na sub-offices kwenye kila kata,mtachukua nchi hii 2015 makamanda wenzangu.

kuwa na sub- office kila kata ni gharama sana nadhani secretary anatosha kabisa kny ofisi ya mbunge ambapo kila mtu anajua wakati wowote akienda pale atamkuta na kuwakilisha hitaji lake.
 
Jamani uchaguzi wa Arumeru umekuwa pigo kubwa kwa CCM na neema kwa chadema. Kuna watu wengi nilikuwa nawajua ni wana CCM wabishi kweli ila wamebadilika bwana. Wanasema upepo huu wa mabadiliko hatuwezi kuuzuia. Nashauri Chadema wakati wanapita nchi nzima kwa operation changia katiba, wafungue matawi, hawasisheni sana watu, anza kuwaandaa wanachadema kushika nchi 2015. Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr

Wewe ndo umeishiwa kbs, hujitambui unachosema. Hao waliojiunga na hicho chama chenu chadema ni njaa zao tu zimewapeleka huko. wamelogwa na ushamba wa helikopta ya mkopo ndo maana wakahama. wajanja tupo CCM, mtajibeba na manguo yenu kama ya mgambo wa jiji.
 
Ndio sababu Mwenyekiti wa Chama amezindua rasmi tarehe 2 Aprili 2012, M4C , (MOVEMENT FOR CHANGE) katika mkutano wa hadhara wa aina yake pale Leganga.

Mzee Mtei kwanza shkamoo, naomba nikupe salaam yangu ya heshima kbs. Pili naomba namba ya Mzee Ndesa niwasiliane nae aje kutuchangia ofisi yetu ya kata CCM pale Ngarenaro. Najua ni ombi gumu kwako mzee lakini ndo demokrasia hiyo mzee. Chadema ni watani wetu lakini na sisi CCM tunapambana chama kisife, japo mziki kweli ni mzito mzee. Ni hayo tu
 
Kuimbe na nyie mna njaa?
Mzee Mtei kwanza shkamoo, naomba nikupe salaam yangu ya heshima kbs. Pili naomba namba ya Mzee Ndesa niwasiliane nae aje kutuchangia ofisi yetu ya kata CCM pale Ngarenaro. Najua ni ombi gumu kwako mzee lakini ndo demokrasia hiyo mzee. Chadema ni watani wetu lakini na sisi CCM tunapambana chama kisife, japo mziki kweli ni mzito mzee. Ni hayo tu
 
Wewe ndo umeishiwa kbs, hujitambui unachosema. Hao waliojiunga na hicho chama chenu chadema ni njaa zao tu zimewapeleka huko. wamelogwa na ushamba wa helikopta ya mkopo ndo maana wakahama. wajanja tupo CCM, mtajibeba na manguo yenu kama ya mgambo wa jiji.

We ndio mshamba wa mwisho,uliwahi ona/sikia CDM wanagawa hela au chakula kama CCM?,wewe unaeng'ang'ania CCM ndio njaa kali unafuata ubwabwa na tsht za bure,BADIRIKA WEWE ACHA USHAMBA.
 
Hata kabla ya hayo, ni kwamba watu washachoka na CCM na wanatafuta chama mbadala kitakachoonyesha kuwa na misingi imara na kuwajali. CCM imebaki ya wazee na kwa bahati nzuri, wanavyoendelea kupungua vijana wakiongezeka, ndivyo CCM inavyopoteza umaarufu. wanatakiwa kusoma nyakati. Ni kijana gani utambwambia zidumu hii nyeupe wakati anaona nyeusi. Pongezi kwa Mkapa kuleta MESS, shule hizi za kata zimeasha uelewa kwa taifa la leo.

Nasari Pongezi za Heshima kwako.
 
Back
Top Bottom