Wengi tulipita hapa!

Transcend

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
20,548
63,035
1453110289678.jpg


Wewe uliandikaga jina gani mkuu?

Looh!
 
Hahaaaa! Kwetu Tanga mkuu..game draw hiyo


Sawa lakini kumbuka Tanga wanapenda sana michezo ya kitoto hata ukitizama mke wa mtu utapatiwa upofu....Kigoma ni nouuuma mkuu. Kule hawapendi michezo ya kijinga ni kuangamiza tu na mateso.
 
Back
Top Bottom