Wengi condom nikatika Jukwaa!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wengi condom nikatika Jukwaa!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaKiiza, Aug 9, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,257
  Trophy Points: 280
  Wakuu,
  Hivi kwauchunguzi wako na wewe mwenyewe sema hivi matumizi ya kondom yanazingatiwa??
  Maana nachojua unatumia kawiki tu mwishowe unaanza kutembelea rimu(Ring)Hata wanawake wao ndo kabisa maamuzi hawana ikifika wiki huyo...........eti sasando umefanyeje kwakua umemmnyeshea kesho kwakuwa ushajijengea jana nilitembelea rimu hakuna nachozuia sas ndo unaongeza speed 120!!!
  Nawengine utasikia wanasema zilikuwa kwenye wallet katika suruali nilipotundika kwenye hanger nikaona mbali nikaacha!!!
  Wengine eti nikaona linafanya prrrrrrprrrrr nikatoa!!
  Wengine eti nikivaa chakwanza tu chapili inalala!!!
  Swali je wewe unavaa tuwe wakweli kuleta mada mezani.:thumb::amen:
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Aug 9, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mimi nadhani idadi kubwa ya watu hawavai condom. Ni kuyeyushana tu....
   
 3. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Kama amepima, kavu is ok!
  Kama hajapima, condom lazima!
  Kwa Mume/Mke kavu is ok!
  La sivyo condom lazima.
   
 4. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,257
  Trophy Points: 280
  Wengi wanatembelea limu Papa mopao!!kupima uanajua wewe na watu wakwenu zaire lakini bongo.............pure leather mkuu!!:playball:
   
 5. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  unakutana na mtu siku ya kwanza unavaa,............baada ya wiki ati mshajuana mnaacha kuvaa. Mlipima?

  itabidi nijibu kuwa uvaaji hauzingatiwi, wala watu hawako serious kihivyo na hilo suala kwa kweli
   
 6. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Ndo maana hatuponi!
   
 7. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Ukipima na kujua afya ya mwenzio basi haina tabu unajiachia full mzux lkn siku ya kwanza unavaa na baadae mnaacha bila kupima hapo sasa!!!
   
 8. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  G no offence ila inabidi nikuulize hapa Unayajuaje haya au wewe mmoja wao??
  :A S 39::A S 39::A S 39::A S 39:
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mi mwendo wangu ni kavu mwanzo mwisho..hata kanisa takatifu la Roho linakataza kondomu..sasa mimi namuogopa mungu na maagizo ya kanisa basi ni kavu tu
   
 10. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kabla ya kupima afya yangu plus kuoa, it would happen kwenda bila kondom. Lakini baada ya kupima, no way. Bora gemu liahirishwe.
   
 11. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #11
  Jan 17, 2013
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,535
  Likes Received: 10,455
  Trophy Points: 280
  imenitokea sina hamu, nimechoka.
   
 12. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2013
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,257
  Trophy Points: 280
  Mimi yawekana ni me experience kutokana na hili ila nataka nikwambie sisi wanaume tunaambiana mtukio yetu hivyo unakuta mtu anakwambia jana nilipata demu labda wametoka club tukaenda guest lakini demu akawa hataki nikmpga sound kakubali kaingia mimi sikukawiza.......sasa hapo kuna condomu?ukimuuliza anabaki kucheka!
   
 13. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #13
  Jan 18, 2013
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,257
  Trophy Points: 280
  Sasa badrika!
   
 14. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #14
  Jan 18, 2013
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,257
  Trophy Points: 280
  Mhmm kama unauwezo huo hongera!
   
 15. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #15
  Jan 18, 2013
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mhhh pagumu sana kuvaa hizo makitu aise
  Tunaongea tuu kwenye mtandao ila ukishaingia na kuvua suruali inavyotupwa mbali na wewe hata uvivu wa kwenda kuichukua utafute condom unakuwa haupo kabisa
   
 16. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #16
  Jan 18, 2013
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  Ila kwa kweli mkuu hata mie huwa sivai...naona kama zinanichelewesha "mambo"
   
 17. Lisa

  Lisa JF-Expert Member

  #17
  Jan 18, 2013
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 1,568
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  "mi mwendo wangu ni kavu mwanzo mwisho..hata kanisa takatifu la Roho linakataza kondomu..sasa mimi namuogopa mungu na maagizo ya kanisa basi ni kavu tu" by KIGOGO

  DUh Kigogo! Nakuogopa kwa hiyo wewe Condom kwako Ni BIG NOOOOOOOOOOOOO! Khaaaaaaaaaaaaaa! Umenishangaza sana. Haya kila la kheri katika hizo game zako.
   
 18. TAMKO

  TAMKO JF-Expert Member

  #18
  Jan 18, 2013
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Kondom!! eti Kwani kondom ni kitu gani ..?
   
 19. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #19
  Jan 18, 2013
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,535
  Likes Received: 10,455
  Trophy Points: 280
  mara nyingi tunakumbuka baada ya kazi!
   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Jan 18, 2013
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  mnhhhhhhhhhhh
   
Loading...