ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,784
- 1,317
pipi kwenye ganda lake sio tamu,kuwa na mpenzi mmoja mkapime muaminiane,ndoa,watoto,uzee hadi kifo
Ukipima na kujua afya ya mwenzio basi haina tabu unajiachia full mzux lkn siku ya kwanza unavaa na baadae mnaacha bila kupima hapo sasa!!!