Baada ya kukamilisha usajili wa stiker wa Real Madrid, Higuan Gonzalez , kocha wa Arsenal , Arsene Wenger amesema anataka kusajili striker wengine wawili, ambao ni Wayne Rooney wa Manu na Luis Suarez wa Liverpool. Wenger amepeleka Liverpool ofa ya Pauni Milioni 30 na Pauni Milioni 20 Man U kwa ajili ya kumnasa Rooney. Mashabiki wa Arsenal tuendelee kufunga na kuomba, ili usajili huu ukamilike.
IN ARSENE WE TRUST