Wenger alikuwa nuksi Arsenal ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,236
_red_circle_ Auba makes it 2-2 with a beauty! Did you react like Sead to that goal_ - Arsen.jpg

Mbona ameondoka na timu imeimarika ?

Full Time : Arsenal 4 - 2 Totenham Hotspurs .
 
Kwa Arsenal ni mapema mno kusema chochote. Wakati wa Mzee Wenger walikuwa wanaanza vizuri sana. February mpaka April ndiyo walikuwa wanapoteana kabisa. Ikifika May wanakuwa wameshakubali matokeo.
 
Wenger alikuwa anapingana na wakati na alibaki na style moja bila plan B, leo Unai Emry kamuweka benchi ozil game tatu mfululizo lakini babu angempa nafasi game zote,huyu Kila game na plan yake
 
Kwa Arsenal ni mapema mno kusema chochote. Wakati wa Mzee Wenger walikuwa wanaanza vizuri sana. February mpaka April ndiyo walikuwa wanapoteana kabisa. Ikifika May wanakuwa wameshakubali matokeo.
Acha uongo chukua record ya mwaka jana, mpaka mwezi huu tulikuwa wa ngapi? Arsen Wenger mechi ya kufungwa tunafungwa, mechi ya kushinda tunatoa suluhu au tunafungwa pia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom