Thread hii iliwekwa humu masaa machache yaliyopita lakini ikaondolewa bila maelezo yoyote. Kwa nini tunataka kutetea uhalifu? Picha hizi hapa chini zinaonyesha gari la Wengart Windrose Safaris likiwa limekamatwa huko Arusha baada ya kukutwa na shehena ya bangi. Hii ndio biashara ambayo wanaifanya huko kwenye vitalu vya uwindaji wanavyoving'ang'ania na kupuuza amri za serikali