Enlightenment
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 1,321
- 3,310
Mkuu ngoja nikupe mbinu nyepesi ambayo nilikua naitumia kwenye mazingira kama hayo na haijawahi kuniangusha.
Kwanza hakikisha home kwako una mafuta au lotion nzuri ya kupaka. Pia jifunze kumfanyia mtu massage.
Akitoka kuoga muombe kumfuta maji na kumpaka mafuta/lotion, wakati unampaka mafuta/lotion msifie kwa maneno mazuri jinsi alivyoumbika na jinsi ulivyobahatika kuwa nae kwa muda huo.
Wakati unamalizia zoezi lako muombe kwa maneno matamu kumfanyia massage ili kumuondolea uchovu wa safari. Kufikia point hii wengi huwa hawajiwezi kumchapa nao ni kama kumsukuma mlevi.
Hii mbinu haijawahi kuniangusha, cha muhimu ni kutokua na papara, kuwa na maneno mazuri na kuacha vitendo vitawale zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app