Wema wangu ulinikosesha manzi, sirudii tena

Wema wangu ulinikosesha manzi, sirudii tena

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,709
Reaction score
35,712
Mwaka 2012 nlikuwa natoka Iringa kupitia Mtera kwenda Dodoma, enzi hizo hakuna barabara ya lami, njiani mida ya sa12 nikampakia mrembo mmoja ni mwalimu alikua anatoka BTP (sijui kama nimepatia) mafunzo ya ualimu kwa vitendo.

Gari ilizingua njiani plus mvua kuubwa tulifika Dom saa6 usiku, mrembo anaenda kwao Nara mi naishi uhindini, nikampeleka hadi 4ways nikamsubiria apate usafiri ikashindikana. Nilimchaji 10,000 kama nauli nikaamrudishia atafute gesti alale, akakosa na hakua na jinsi ikabidi nimpeleke kwangu hapo nakaa alone, kufika home kutokana na mvua kubwa begi aliliacha kwenye gari.

Rumu ni master akaingia kuoga akarudi na chupi mkononi kaifua[emoji39][emoji39][emoji39] mimate ikanitoka hatari. Ndani ni kitanda na sofa moja la watu3, nkaingia kuoga narudi namkuta kalala kitandani. Nlimpa tracksuit avae

Nikalala kando yake sikumgusa nikiamini kesho yake atanipa mzigo. Kutokana na uchovu wa safari na gari kuzingua njiani nikapitiwa na usingizi.

Asubuhi akaniambia nimwache aende na kwamba atarudi tena maana alikua anasoma Capital TTC.

Aliposepa hakupokea simu hadi leo na sikuhangaika kumfata chuoni maana hata sio mbali. Ngejua ngemtafuna usiku na uchovu wangu. Huu ufala sitakaa niurudie tena.

NB: picha haihusiani na mada
received_2681514768561146.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhindini Mbona Tumechangamka Mkuu naamini angekua jamaa wa airport au Chang'ombe angekaa Wiki Hahah
 
Learning the hard way mi kuna mmoja nimemuacha alale kwanza yuko chumbani huko akiamka anakula msosi then naanza kumtembezea mti nyama na sikukuu hizi ntamluhusu kutoka baada ya mwaka mpya alafu pisi yenyewe ndio naipiga kwa mara ya kwanza so nna uchu nayo kweli
 
Kaka badili kichwa cha habari. Kilichokukosesha manzi ni uboya na uchovu wako tu sio wema. Infact wema wako ndio ulikupatia demu hadi chumbani kitandani na hana chupi! maana wema wako ulikusababishia umpe lifti na umkaribishe kwako kitandani.
 
[emoji28][emoji28][emoji28] we nringishie tu mie nipo bar nasubiri kuna dem mbaya hapa hawezi kunikataa ntakapoanza kumuona mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka badili kichwa cha habari. Kilichokukosesha manzi ni uboya na uchovu wako tu sio wema. Infact wema wako ndio ulikupatia demu hadi chumbani kitandani na hana chupi! maana wema wako ulikusababishia umpe lifti na umkaribishe kwako kitandani.
Sirekebishi ni wema na uboya kwa pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Mkuu, kumbe wewe ni ME! Mbona Id photo ni KE?

Back
Top Bottom