Wadada Fungukeni: Ni mwanaume gani lofa zaidi ushawahi kutana naye hadi leo ukikumbuka unaishia kusema hiiiii

Complicator

JF-Expert Member
Aug 23, 2013
2,198
3,566
Nimekopi hiki kisa! nadhani huyu ni lofa wa kwanza, huyu dada hatakaa amsahau...

leteni visa vyenu, naambatanisha na picha ili kuondoa uchovu kwa wanaume,,picha haina uhusiano na mada

Mwaka 2012 nlikuwa natoka Iringa kupitia Mtera kwenda Dodoma, enzi hizo hakuna barabara ya lami, njiani mida ya sa12 nikampakia mrembo mmoja ni mwalimu alikua anatoka BTP (sijui kama nimepatia) mafunzo ya ualimu kwa vitendo.

Gari ilizingua njiani plus mvua kuubwa tulifika Dom saa6 usiku, mrembo anaenda kwao Nara mi naishi uhindini, nikampeleka hadi 4ways nikamsubiria apate usafiri ikashindikana. Nilimchaji 10,000 kama nauli nikaamrudishia atafute gesti alale, akakosa na hakua na jinsi ikabidi nimpeleke kwangu hapo nakaa alone, kufika home kutokana na mvua kubwa begi aliliacha kwenye gari.

Rumu ni master akaingia kuoga akarudi na chupi mkononi kaifua mimate ikanitoka hatari. Ndani ni kitanda na sofa moja la watu3, nkaingia kuoga narudi namkuta kalala kitandani. Nlimpa tracksuit avae

Nikalala kando yake sikumgusa nikiamini kesho yake atanipa mzigo. Kutokana na uchovu wa safarina gari kuzingua njiani nikapitiwa na usingizi.

Asubuhi akaniambia nimwache aende na kwamba atarudi tena maana alikua anasoma Capital TTC.

Aliposepa hakupokea simu hadi leo na sikuhangaika kumfata chuoni maana hata sio mbali. Ngejua ngemtafuna usiku na uchovu wangu. Huu ufala sitakaa niurudie tena.

IMG_20191226_081150.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitarudi...

Ulofa wa mwanaume haupo kwenye kuacha/ kushindwa kufanya mapenzi na kila au mwanamke anayekua naye kwenye mazingira shawishi.

Mwanaume mwenye kuweza kucontrol mazingira kama hayo ni mwanaume hodari, anayejielewa na aliyekomaa kiakili. Na huyu ndio wa kuitwa mwanaume rijali

Cc EINSTEIN112
 
Mwanaume ambae amezaa na mwanamke mwingine ukiacha mkewe wa ndoa yaani amechepuka adi akazaa wakati yuko na mkewe then akamwambia mkewe ila cha kushangaza akamwambia mkewe hawezi kuacha kuwasiliana na huyo mwanamke hata akiwa na stress kwa sababu inaeza affect hao watoto wa nje!
Sijawai kuona mwanaume wa hivi toka nazaliwa adi siku ya kufa naamini sitamuona
 
Frankly speaking huyu jamaa sio kwamba alifanikiwa ku control hisia zake. Nope! He was a Coward..
Alimtamani na alimuogopa.. kama asingekua amemtaman asingekua anakikumbuka hiki kisa kwa uchu wa kutofanya nae mapenzi, angekua anamkumbuka kwa kumtendea wema
Alizidiwa na uchovu ila binti angemkazia pasingekucha
Ashukuru mungu binti hakuwa na appetite
Na Kilichotokea sio ulofa pia hahahaa
 
Tena angetengeneza mazingira ya kuto kumpa tracksuit yaani demu alale vile vile yaani hapo angekula mzigo vizur sana.Mwanamke kuliwa huwa anatengenezewa mazingira kwa mara ya kwanza lakini ukisema eti mmeonana leo ajitengenezee mazingira inakua shida kidogo labda huyo anakua muhuni type fulani za wanawake wajanja janja.
Demu akamuona huyu jamaa hana madhara ndo maana akakufungia vioo
 
Kama ndiyo hivi basi mimi nitaendelea kuwa lofa tu, urijali wa namna hii na uniepukie mbali
Nitarudi......

Ulofa wa mwanaume haupo kwenye kuacha/kushindwa kufanya mapenzi na kila au mwanamke anayekua nae kwenye mazingira shawishi.
Mwanaume mwenye kuweza kucontrol mazingira kama hayo ni mwanaume hodari, anayejielewa na aliyekomaa kiakili. Na huyu ndio wa kuitwa mwanaume rijali

Cc EINSTEIN112

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamaa alikua anasubiri apumzike kidogo uchovu upungue ndio ale tunda kimasihara sasa
Frankly speaking huyu jamaa sio kwamba alifanikiwa ku control hisia zake. Nope! He was a Coward..
Alimtamani na alimuogopa.. kama asingekua amemtaman asingekua anakikumbuka hiki kisa kwa uchu wa kutofanya nae mapenzi, angekua anamkumbuka kwa kumtendea wema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitarudi......

Ulofa wa mwanaume haupo kwenye kuacha/kushindwa kufanya mapenzi na kila au mwanamke anayekua nae kwenye mazingira shawishi.
Mwanaume mwenye kuweza kucontrol mazingira kama hayo ni mwanaume hodari, anayejielewa na aliyekomaa kiakili. Na huyu ndio wa kuitwa mwanaume rijali

Cc EINSTEIN112
Mna maneno matam sana nyie viumbe Ila kuna muda huwa mnafanya mambo ya ajabu mno
 
Alizidiwa na uchovu ila binti angemkazia pasingekucha
Ashukuru mungu binti hakuwa na appetite
Na Kilichotokea sio ulofa pia hahahaa
Nachojua siku zote wanawake wanakuwa hawana appetite mbaka apate boosta ya kutoka nje.. so kama jamaa angejiongeza akamfanyia michezo binyi angelegea tu maana asingeweza kumkataa kwakua jamaa ashamlegeza moyo kwa kumuonyeaha yeye ni mwema kiasi gani..
Ingekua rahisi mno.
 
Muda mwingine sio ulofa ni kutokuwa na hisia tu.

Wewe ni kila mwanamke utalala naye? Mimi hapana kuna wanawake nawaheshimu kama wanawake hata nikivuta hisia haziji.

Maisha bwana....
Kuna rafiki yangu alikuwa mtu wa kisafirisha wanawake na kuwahidi atawapa kazi sehemu fulani. Wakishafika wanakutana na hali tofauti kabisa na zile ahadi walizopewa.

Akamleta mdada mmoja wakakaa ila kwa nilivyokuwa nasoma mazingira nikajua hapa hawa hawafiki maana kila siku kurushiana maneno hakuishi. [Mwanamke ogopa mwanaume mwenye ahadi na maneno maneno mengi mkiwa mnaongea].

Nikawa nasolve cases kibao hadi nikachoka...siku shemeji jina ananipigia simu ananiambia njoo kuna tatizo kubwa...nikakuta amemfungia jamaa kwa ndani na katoa mizigo yake yote..kesi ikashindikana. Jamaa akamwambia ondoka tafuta pakuishi.

Ilinibidi niondoke na mwanamke kwenda kwangu nilikuwa na mgeni kutoka nyumbani...ile tumekaa sebuleni akawahi kulala chumbani kwangu...alikaa week na sikuweza kufanya lolote...

Jamaa akapata taarifa akaanza kuona wivu...sijui walifikia wapi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom