babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,313
- 20,902
what would magufuri do.NI ugonvi wa maneno kati ya wema, Diamond na zari, wema alipost picha ya mtoto wa esma (dada wa diamond) akasifia kuwa mtoto ni mzuri sana kama pipi shabiki mmoja akauliza na tiffah? Wema akamjibu huyo shabiki "basi tungehama nchi" kwa ilivotafsiriwa kamaanisha huyo tiffah mtoto wa diamond angekua mzuri angehama nchi kwa direct maana tiffah ni mbaya, zari nae akatoa yake kuwa watu wasio na womanhood ndio wanaweza kumuita mtoto Mbaya..... Diamond ndo leo kamaliza kabisaaaa kaweka picha akiwa na mwanae akaandika "shika mimba uzae wako mzuri if you can" ligi ndo imefikia hapo hope umeelewa
Teh Teh Mkuu kutokujua hili ni jukwaa gani na kuanza kukosoa unaweza kuwa ni upumbavu piawhat would magufuri do.
wabongo mnapoteza muda mwingi sana kujadili upumbavu,hii mada inatusaidia nini nyie panyaz
Kuna wimbo mmoja wa Country una chorus "Son, you don't need to fight to prove you are a man"! Wazungu bana wapo mbali sana.NI ugonvi wa maneno kati ya wema, Diamond na zari, wema alipost picha ya mtoto wa esma (dada wa diamond) akasifia kuwa mtoto ni mzuri sana kama pipi shabiki mmoja akauliza na tiffah? Wema akamjibu huyo shabiki "basi tungehama nchi" kwa ilivotafsiriwa kamaanisha huyo tiffah mtoto wa diamond angekua mzuri angehama nchi kwa direct maana tiffah ni mbaya, zari nae akatoa yake kuwa watu wasio na womanhood ndio wanaweza kumuita mtoto Mbaya..... Diamond ndo leo kamaliza kabisaaaa kaweka picha akiwa na mwanae akaandika "shika mimba uzae wako mzuri if you can" ligi ndo imefikia hapo hope umeelewa
We inaonyesha hujasoma habari yote au kama umesoma basi kuna kitu kinakuzuia kuukubari ukweli,habari inasema hivi alimsifia mtoto wa esma halafu shabiki mmoja akamuuliza je Tiffah akajibu si tungehama nchi haya ujaelewa au bado unajitoa ufahamu ??????ila uswahili ni mbaya sana , tanzania hii kuna watu wamezaa watoto kibaooo ila yeye kumsifia mtoto wa esma wengine wanajihisi wamesemwa wao jaman
Hapo majibu yako wazi sana japo yeye akiulizwa atakataa ila kwa sisi watoto wa uswazi utudanganyi.Wema ndo peke yake anaye jua tafsiri ya alichokua anakimaanisha ila kila mtu alitafsiri alivyoelewa
We inaonyesha hujasoma habari yote au kama umesoma basi kuna kitu kinakuzuia kuukubari ukweli,habari inasema hivi alimsifia mtoto wa esma halafu shabiki mmoja akamuuliza je Tiffah akajibu si tungehama nchi haya ujaelewa au bado unajitoa ufahamu ??????
Uhuru anaukataa yeye mwenyewe kwa kupenda kuingilia maisha ya DIAMOND, anamsifia mtoto wa esma kwamba mzuri anatokea shabiki yake anamuuliza je Tiffah anasema si tungehama nchi halafu wewe unasema hawataki awe huru wakati uhuru yeye ndio hautaki,kama unampenda kusikufanye usione mabaya yake.Hawataki awe huru. Ningekuwa na uwezo ningemuoa Wema kwa kweli nishaanza kumpenda
hawakuwa wanaongelea habari ya kuimba wimbo wa DIAMOND walikuwa wanaongelea habari ya yeye baada ya kumsifia mtoto wa Esma,hii ilikuwa ni siku nyingine kabisa na hiyo ya yeye kuimba wimbo wa DIAMOND,ni kweli munampenda ila sometime huyu mpendwa wenu anaropoka sana.Maana yake nahisi hakumaanusha no mbaya,maana alipost video akiimba wimbo wa dangote ilikua mtiti sasa Ange Sofia tiffah situngehana nchi nahisi alinaanisha ivyo
hawakuwa wanaongelea habari ya kuimba wimbo wa DIAMOND walikuwa wanaongelea habari ya yeye baada ya kumsifia mtoto wa Esma,hii ilikuwa ni siku nyingine kabisa na hiyo ya yeye kuimba wimbo wa DIAMOND,ni kweli munampenda ila sometime huyu mpendwa wenu anaropoka sana.
Haya pita salama mjusi,haikuwa vizuri kutokukuelimisha wakati nimejiunga JF ili tuelimishane kwa vitu tusivyoelewa labda uniambie kuwa unafahamu ila ulikuwa unafanya makusudi.Kenge kapata ngoma,aipiga kwa mkia teh teh napita tu
Chines fone!
usiniharibie siku hili ni jukwaa la ma celebrities fyatu wewe, we umepita hapa kufanya nini nimekutag mxyuuuu.... Afu sio magufuri ni magufuliwhat would magufuri do.
wabongo mnapoteza muda mwingi sana kujadili upumbavu,hii mada inatusaidia nini nyie panyaz
Ha ha ha ujue inahitaji uwe na chembe za umbea kuelewa umbeaUpo vyema maana miaka million nisingeelewa kilichoandikwa hapo
Eeeh Nicas mtoto sio mtu ni mtoto, teh mtu ni wewe au mimikwani mtoto sio mtu?
Anajikuta tu kaja kutafuta habari za siasa kwenye hili jukwaa, kiazi huyo utadhani kaalikwa hapaTeh Teh Mkuu kutokujua hili ni jukwaa gani na kuanza kukosoa unaweza kuwa ni upumbavu pia
mtoto pia ni mtu. sio kuku wala mbuzi wala mti wala simuEeeh Nicas mtoto sio mtu ni mtoto, teh mtu ni wewe au mimi