Katika siku za Nyumba, nilikua na Rafiki yangu kipenzi sana, Ambae yeye Wala hakua na urafiki wa kweli kwangu.
Baada muda kupita alipata maradhi ambayo yalihitaji kufanyiwa upasuaji na malipo yalikua ni kiasi Fulani Cha pesa, Kuna mtu alipata Taarifa mshikaji kuugua miongoni mwa marafiki Zetu, alienda mwananyamala Akalipia pesa Yote ya matibabu akampa ndugu wa mgonjwa lisiti zote, na Wala hakumtajia Jina lake isipokua alitabasamu tu na kuondoka.