Mama yake ni mke wa pili kwa jamaa. Mzee Sepetu alioa mjerumani nafikiri waliachana ndo akawa na mama wema. Nisahihisheni kama si Sepetu huyu. Mtoto halfcast wa Kijerumani ninamfahamu, nafikiri atakuwa ujerumani (jina nimeficha kwa kuwa hahusiki hapa).
eti safi sana wema daima mbele nyuma mwiko...kweli shosti kapata shoga,inaonekana shoga zake wanaomshauri upuuzi ni kama wewe tu,so aendelee kusonga mbele tu? (kuwabadilisha)
Sio polisi wa siku hizi mazee, niliwahi kumuona mmoja mahakama ya kisutu, asee!! nilitamani anikamate ili niwe jirani yake!!!<br />
<br />
sema ni kubanwa na majukumu tu ama sivyo matembezi yangu yangekuwa kwenye mahakama hiyo kila siku!!!
Wema anitafute nimpe malavidav ya Kisukuma:kwangu atapata kitakachomtuliza milele kwani wengine wote wanamtumia tu, anitafute kwa petitmacdowel@yahoo.com nimpe pumziko.
Mama yake ni mke wa pili kwa jamaa. Mzee Sepetu alioa mjerumani nafikiri waliachana ndo akawa na mama wema. Nisahihisheni kama si Sepetu huyu. Mtoto halfcast wa Kijerumani ninamfahamu, nafikiri atakuwa ujerumani (jina nimeficha kwa kuwa hahusiki hapa).
Zamani Wema alikuwa jirani yangu kabla ya kuchipukia, na alikuwa bomba toka kipindi akiwa mtoto mdogo sana, mama yake tulikuwa tunamwita Bi Benz kwa sababu alikuwa anaendesha mabenz tu wakati huo, na Dingi alikuwa balozi Jamhuri ya Kongo(Zamani Zaire) na ni mzenji na mke wake wa kwanza yupo Zenji, Lkn sasa hivi mzee wake anasumbuliwa na visukari yupo huko Zenji ndio maana Wema alipoteza uelekeo kitambo kwa sababu ya dingi kuvulia na kuandamwa na magonjwa ya kizee.
Mmmh, he is sweet, choclate, smells gud bla blabla
Kwa kweli huwa namsikitikia sana huyu bint, ni mrembo sana angetulia maisha yake yangekuwa na mwelekeo.
Loooooooo jamani mijuha ipo mingi bado tu hajastuka kama huyo mrembo wenu kapagawa. lakini sijambo la ajabu mana wanao mchukuwa ni majuha kama yeye mtu naakili zake hawezi kuwa na mwanamke kama choo cha kulipia wakuu sio rahisi kwa rijali kutembea na Binti sepe2 niaibu huwezi hata kumchukuwa kwa rafiki zako au ukiwanae ukamuona mshkajin wako inabidi usepe kwa kuona nishai asijekuonanae. jamani wenyemawazo yakumpata nawasihi kuna mesali inasema ukimuona juha mkimbie kazi kwenu mana wa2 humu wameuliza kam mtandao unafanya kazi wajirushe poleni mtavunja heshima zenu