mrembo mwenye sifa za kubadilisha wanamume kila uchao,leo kapandishwa tena kizimbani kwa kosa linalokaribia lile la enzi zake na stivie kanumba,safari hii amemtusi prezidaa wa masharobaro!!! hivi wana jf ni umaarufu umemlevywa au ni sifa za kijinga na utoto?
source eatv news za saa 11 jioni ya leo