inasemekana ndugu zake wamemweka ndani kama mwari wa kizaramo uko USA alipoenda kuwasalimia mwezi uliopita eti kisa anazalilisha ukoo wa mzee Sepetu.kila siku kuandikwa andikwa tu.Chalz Baba adata - Global Publishers
Pole sana Siwema Sepetu,ujana kazi wote tulipita huko.sasa kua achana na hao akina kanumba,chaz mama na wengine watazidi kukutotoza,tulia fanya mambo ya maendeleo kwani kujipanga ni mapema na uzeeni ni mafao.