WEMA Sepetu vs Jack Wolper hakuna mbabe

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
TAMASHALAMATUMAINI11.JPG
TAMASHALAMATUMAINI13.JPG
TAMASHALAMATUMAINI15.JPG
 
Kweli pesa ngumu na utafutaji wake lazima kujituma. hawakupasuka ngozi kweli na hivi washajichubua mpaka!
 
Kuna gazeti la michezo ilimeonyesha Wema akikimbia masubwi ya Jackline....
 
Ni kama njia mpya ya kutangaza biashara fulani fulani. Inatia kinyaa kuona umma unavyoshabikia vitu visivyo na kichwa wala miguu. Kweli Tanzania Tanzia maana kila juha awezaonekana mjanja!
 
Ni kama njia mpya ya kutangaza biashara fulani fulani. Inatia kinyaa kuona umma unavyoshabikia vitu visivyo na kichwa wala miguu. Kweli Tanzania Tanzia maana kila juha awezaonekana mjanja!
Kwani bado hujajuwa umaskini wetu unatokana na nini? Taifa lililojaa mijitu mizembe na inayoshabikia kila upunguani wanaoletewa ni vigumu watu wake kupata maendeleo.
 
Back
Top Bottom