Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

Wadau, ni hivi majuzi tu mdada mwenye skendo zisizoisha Wema Sepetu alisherehekea birthday yake kutimiza miaka 26. Ni birthday iliyoacha gumzo na kwa upande mwingine maswali kibao hasa ukizingatia gharama na zawadi alizopewa.

Si lengo langu kuichambua hiyo sherehe kwa sababu kwa upande mwingine ana haki ya kufanya vile anavyoona nafsi yake inampendeza.

Nimepost uzi huu baada ya kukutana na kitu ambacho sikukitegemea kukiona kwa mzazi mwenye mtoto mkubwa kama Wema. Ni mara nyingi nimeona magazeti na media mbalimbali zikimuhusisha Mama Wema na skendo mbalimbali kuhusu mwanae.

Jana nimeshtuka sana maneno niliyoyasikia kutoka kwa huyu mama aliyoyatoa kwenye hiyo sherehe. Naomba wadau tuangalie hii video hapa chini, au uisikilize audio ambayo nimeiconvert kutoka kwenye hiyo video. Kisha tujadili mzazi wa namna hii analeta picha gani katika jamii.


Download Video hapa View attachment 189812

Download Audio hapa View attachment 189811



~~~ Mimi nina miaka 50 lakini figure yangu kama mtoto wa miaka 12 - Mama wema ~~~
[video=youtube_share;OvBA3ExKZn 4]

~~~ Katika pitapita zangu nimekutana na mtusi mwingine hapa. Kidogo mawazo ya kwamba labda juzi kati alitukana kwa sababu ya kulewa yameanza kunitoka ~~~
[video=youtube_share;b9hwjC3W7sc]

Jamii Forums inaweza kukujenga na kukubomoa
 
Back
Top Bottom