Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 844
Do, mama ubaya na baba ubaya wanazidi kukaribiana. Zari hawa walizaa kitambo sana mtoto anaitwa ubaya.
yani wewe umeongea point sana.diamond akimuumiza mama mtoto wake itakuwa chanzo cha downfall yake...ajiulize why yeye hampendi baba yake
Asalam aleikum.
Najua kichwa cha habari kimewashtua watu wengi sana wale wanaopenda mafanikio ya wasanii wetu na wale wasiopenda maendeleo(wale wapenda bifu).
Hivi majuzi baada ya Diamond kuukata mzizi wa fitna na kuonesha moyo wa kiuungwana kwa kumpost x wake na kuwafanya watu kufahamu kuwa bifu ni nzuri kwa sambusa tuu na sio kuifanya kama maisha yako.
Mwanadada sepenga nae akajibu kwa kusema kuwa amefurah kuona kuwa Sasa wanasapotiana kwa maana yeye binafsi anampenda sana diamond kama msanii na alikuwa akiishi maisha ya kuigiza na kujidai kuwa hampendi mondi lakin kiuhalisia anamkubali sana bwana matuzo na watu waligeuza bifu hilo kuwa mtaji wa kuongeza followers kule instagram.
So kwa msimamo huu walioonesha napenda kubashiri kwamba yawezekana kabisa "WEMA SEPETU KUHUDHURIA BIRTHDAY YA TIFFA WA DIAMOND" Kama akialikwa
Haya sasa usisahau kunifolo kule insta @mckonje au nipate kwa #mckonjetv
Kibiashara Mondi atafaidika sana na hilo bt atapoteza familiaNachoona ni Wema kuanza kurudisha majeshi taratibu kwa Diamond. Ila mimi napenda kumuona Dai na Zari zaidi kuliko huyo Wema though mapenzi ni maamuzi ya wawili.
njia zingine sio nzur kuna panya roadDuh nimepotea njia napita jamani
Kweli huku hakulingani na hadhi yako hebu pitia hapa basi.Duh nimepotea njia napita jamani
Hapana itabidi aende na Idriss ili kumfanya zari asiwe na wasi wasiWema akiruhusiwa kwenda ataongozana na kundi kubwa la mabazaz wenzake na kumfanyia fujo mama Tiffa. Naona bora asiende huko.
Liwalo na liwe
Anajisemesha Kutafuta KIKIWema njaa inamdhalilisha,Range Rover imeuzwa anatapatapa,ameshamaliza wanaume,si ni yeye alimuacha Diamond kwa mbwembwe zote,na pati alifanya,sasa anajisemesha kutafuta nini tena