Wema Sepetu Gambani

he he he; sometimes I real, real love Wema.

Anatumia vizuri alichopewa na mama yake!
 
Kwa chuki na visirani vilivyopo,asishangae akipoteza washabiki wa kazi zake kwa sababu ya Kuwa mwanachama wa mafisadi.
 
Kweli magamba watapatapa, kufa maji!! Maandalizi ya mwaka 2015!!! Wasanii kama mlivyo wasanii!!! Chama cha Wasanii=Chama cha Magamba!! Kazi ipo!!
 

Duuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!! ama kweli kazidi udebwedo anaogopa hata panzi?
 
Mama ndikumana naye hakuwa nyuma. msanii anapoamua kuwa body guard wa msanii mwenzake mhiiiiii
 

Attachments

  • I.jpg
    15.6 KB · Views: 71
  • L.jpg
    32 KB · Views: 72
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…