Hatimaye mkali katika tasnia ya sanaa nchini wema isaac sepetu leo usiku amevishwa pete na jamaa kutoka machozi band anayekwenda kwa jina la mwinyi na kudhihirisha ukisema chanini wenzako wanasema watakipata lini na kuonyesha nyota yake bado inang'ara japo amepitia misukosuko mingi,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa new maisha club ambapo imehudhuriwa na mastar wengine kama jb,sharomillionea,sam,gadna g habash,mateja na wengine wengi.wakati huo huo aliyekuwa mchumba wake waliyemwagana diamond yupo ktk hali ya sintojua baada ya mpenzi wake mpya kudaiwa kurudiwa na aliyekuwa mchumba ake hasheem thabit.
Kila la heri dada ktk safari yako mpya na pole kwa kijana diamond.
Source: dj choka blog na mimi mwenyewe

Atulie sasa maana waliomvua chupi wengi hata mm nikila asipozaa ndani ya mwaka nasepa
Hahahahaa kazi kweli kweli,hivi kuvalishwa pete na kila mpenzi unayekua nae afu mwisho wa siku mnaachana kwa mbwembwe ni akili au matope?
Usha discuss lakini mkuu.this girl is a disgrace to her family...it is worthless for me personally to put efforts to discuss what she is doing....she is always after media attention na huo ni upumbafu na akili za watoto...samahani lakini ....
Unataka kuniambia nimeshamkosa tayari manake nilikuwa najaza mfuko nimtafute duhh huyu jamaa kanivurugia mipango yote.Sasa hivi nilivyo vikusanya ni vipeleke wapi ahhh kwani miss no 3 nipeni jina manake n0 2 yule jamaa aliyekuwa naye kanizidi mawe fanya mchezo basketball nini tena nba kudadadeki zake