Kugombania viti maalum Singida
Waheshimiwa wakae mkao wa kula!
Nchi hii ya k.i.s.e.e.e.e.en.n.ng.g.e.e.
Aache ujinga, VAA KIMINI KUWA MKUU WA WILAYA
Kugombania viti maalum Singida
za umalaya-akamalizie Bungen?
kabla ujamnyooshea mwenzio kidole jichunguze wewe ni msafii..!! acha kumuhukum mwenzioo naye kazaliwa kama wewe
well said mkuu. Mtu kama huyu sidhani kama anaweza hata kujenga hoja yenye mashiko.
Notwithstanding all her shortcomings, her English is good bordering to excellent!!!
mnyonge mnyongeni........
janga kuuuccm ni janga la taifa...
Hivi na ile sauti ile itakuwaje?