Yes Duniani tunatakiwa kuwa wema na kuwashika mkono wahitaji.Binafsi nikiwa sawa nitawashika mkono vijana wa chuo wanaokwamba ada.
Ujumbe mzuri Ila hiyo picha tumepigwa ni picha mbili zenye watu tofauti.
Hiyo video pia hapo kwenye mwaka 2020 napo tumepigwa.