Wema na mama yake wafumwa singida

Wema na mama yake wafumwa singida

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,213
Reaction score
18,455
Siri imefichuka, inasemekana wema isaac sepetu na mama yake mzazi walienda mkoani singida miezi michache iliyopita ili kumroga mume wa mtu clement na kumuweka sawa, pia inasemekana baada ya kurudi bongo wema aligeuza tena kurudi kwa mganga na kumroga diamond ili amuache penny...
 
umbea mtupu hata km ni kutunga sio hivyo...nenda kajifunze kuandika udakuz:angry:
 
Hapa napo tukidai picha tutakuwa tunawaudhi ama kumuudhi mleta mada? warumi.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Last edited by a moderator:
Cku hizi uchawi n kunako 6 by 6 n hela yko.ingekua uchawi w mpnz una nguvu sumbawanga wote wangolewa mana hko n majanga
 
Anaeandika Story za domo na wema imetosha sasa mara wema mara domo hivi hamjui humu JF kuna watu wana Title zao wamekaa kimya wanawachora tu Khaaaaaa.
 
Anaeandika Story za domo na wema imetosha sasa mara wema mara domo hivi hamjui humu JF kuna watu wana Title zao wamekaa kimya wanawachora tu Khaaaaaa.

Hata wewe ungekuwa maarufu ungeandikwa sema ndo ivo mkuu
 
mi napita tu. hakuna jipya tumeshazoea
 
Back
Top Bottom