Mitandao inasaidia kuonyesha pesa na kuonwa na mwanamke kwenda kuzitafuta kwa mwanaume.
Ila Wema duh anataka kuwa mama wa kambo, kaenda kwa mwanaume mwenye watoto watatu. team yake ilisena anaukimwi sasa wanafurahia yeye kwenda kuufata. Pesa duh
Hao watoto wakiugua au kuanguka akiwa nao asije jiona kaenda mahakamani sababu ameenda kumfata mwanaume kwa sababu za chuki au kukomesha....
Ila kweli ni takataka duh, kumwinyeshea Chibu ndio ameenda kwa mume wa girlfriend wake duh ataweza kuwaangalia usoni kila kukiwa na jambo la watoto?
Wanaume wamekosekana duh...mapenzi haya
Mie naangalia movie...