Wema Issac Sepetu Katakata? mmmm

mwangalie vizuri miguuni mishipa inaonekana sana nahisi ni kwa sababu ya kujichubua.
 
anajichubua na sasa she looks much older than her age. huwezi amini she is just 22 hapo... ameharibu sana.
Alafu hiyo cellulite aifanyie kazi, mapaja hayavutii hato. yamekaa kama ya bibi!
 
This might be ARVs at work, beware!
Mkuu umesikia lakini kwamba ARVs zikitumiwa vizuri zinapunguza virus kwa kiwango cha karibia na zero?
na unaweza kupiga na maisha yakaendelea?

Kwenye miguu hapo na juu ya magoti..........anatia kinyaa!!! naweza nikatapika kabisa!!!
Piga at your owns risk though!! usiseme Biggie kanambia
attachment.php
attachment.php
 
anajichubua na sasa she looks much older than her age. huwezi amini she is just 22 hapo... ameharibu sana.
Alafu hiyo cellulite aifanyie kazi, mapaja hayavutii hato. yamekaa kama ya bibi!

Kufanyia kazi cellulite ikisha set in it almost impossible!
Unatakiwa kuzuia usipate cellulite kwa kufanya mazoezi, na kuhakikisha huongezi uzito na kupungua - yo-yo- style.
 
Mkuu umesikia lakini kwamba ARVs zikitumiwa vizuri zinapunguza virus kwa kiwango cha karibia na zero?
na unaweza kupiga na maisha yakaendelea?

Kwenye miguu hapo na juu ya magoti..........anatia kinyaa!!! naweza nikatapika kabisa!!!
Piga at your owns risk though!! usiseme Biggie kanambia
attachment.php
attachment.php

Wanawake jihadharini na urembo wa kujichubua kama huyu dada!
Mishipa imetokeza kwa vile ngozi ya juu ishatoka, pia angalieni kwenye vidole - weusi huo wa kwenye viungo umekataa kuchubuka na kumfanya aonekane kituko!
Tumieni vitu vya asili kama limau, nyanya, parachichi kujitakatisha. Pia tumia vyakula kama mboga na matunda kwa wingi bila kusahau maji ya kutosha.Utakuwa na rangi nzuri na siha.Huhitaji kuwa na mfanano wa kuku aliyekaa muda mrefu kwenye friji ili uwe mrembo.Nyie wanaume acheni kuwapapatikia wanaojichubua.
 
kweli beauty is in the eye of the beer holder...kuna tofauti kat ia uzuri na weupe...labda naanza kuzeeka kabla ya wakati lakini hizi sio swaga zangu kabiiisaa
 
kweli beauty is in the eye of the beer holder...kuna tofauti kat ia uzuri na weupe...labda naanza kuzeeka kabla ya wakati lakini hizi sio swaga zangu kabiiisaa

Kazi ya Caro Light hiyo,

Utasikia wanadanganyana wenyewe kwamba shoga umetakata!

Wakati wenye akili tunawaonea huruma kwa kujiharibu!!
 
Huyu bint hii ni rangi yake au ????????????????
Picha kwa hisani ya GLOBAL PUBLISHERS
Uzeee huooo,haya sasa ahesabu alichobakiza sio alichopoteza,tumbo kama kibuyu cha asali hadi anaona noma analificha!!
 
Back
Top Bottom