Wema, Dogo Janja ndani ya SKENDO mpya

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,378
Mmh mbona balaa tena mujini, Ila wema mchafu, sasa dogo janja jamani c mume wa uwoya , na uwoya alikua kwenye birthday yake mlimani , kumbe bibie anamendea pipi ya dogo janja... mmh mi mwenzenu bado nipo nashangaa tu hapa , huu umbea sikuutegemea kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom