Wema aikataa CCM na kujiunga Chadema?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,466
25,388
Mwanadada Wema Sepenga ameonesha kwa namna moja ama nyingine kuamishia majeshi Chadema mara baada ya kuona huko alikokuwa mwanzoni (CCM)alikuwa hayupo sehemu sahihi.

Kwa uonesha msisistizo zaidi Wema ameonesha mahaba mazito kwa mheshimiwa Freemaan Mbowe ikiwemo ku like picha zake nyiiingi huko Instagram.

Screenshot_2017-02-21-18-41-41_1.jpg


Haya saaaaasa Aluta kontinuaaaaa muvi ndo kwaaaaanza linaanza..
 
Sawa!! Ila isiwe tu kuwa amekuja kujisafisha huku! Ningemshauri ajisafishe akiwa hukohuko kwanza! Akishakuwa safi ndiyo aage! Reputation yake itaenda juu zaidi! Maana kama ataingia humu akiwa bado na kinyesi hao inzi wanaomsumbua huko watakuja kutusumbua na sisi huku!!
 
Posti haijaenda shule bado. Inahitaji kuwekewa nyama. Lakini nampongeza Dada Wema kwa kujitambua, Kama kweli kasema hivyo, maana uhuru wa kweli upo Moyoni mwake.. Achana na maslahi ya kipuuzi, tambua thamani yako na uhalisia wa mambo. Duniani tunaishi mara moja tu. Utaheshimika kwa kuishi ukweli na wala si maslahi na eti Baba yangu alikuwa kada. Kumbuka wakati Baba akina Chama hiko TZ ili kuwa chini ya Chama Kimoja. Wewe weka historia yako, si ya Baba.
 
Bora wapige marufuku viroba aisee.

Yaani like tu unaweweseka hivyo aisee.

Anyway abaki huko huko
 
Nikajua katoa tamko mwenyewe, kumbe hisia zako tu mtoa mada!
 
Sio tu ku like na ku komenti juu....ila sidhan kama mtu kuwa na bifu na makondakta ndio uhame chama..Yeye aendelee nao tu.
Wema na bwana yule hawaivi hata kidogo,Wema alikuwa anaiva na Kikwete na kwa mbaaali Lowasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom