mwanaone
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 637
- 760
Uamuzi wa msanii nguli wa sanaa WEMA SEPETU kwenda chadema hautakuwa na athari yoyote KWA CCM kwa sababu zifuatazao.
TAFSIRI YA KILAZA
KILAZA SIO CHIZI BALI NI MTU YOYOE AMBAYE HAJAPATA DIVISION 1 NA 2 KWA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE NA SITA .
na mwandishi wa habari hii pia ni kilaza maana sikupata division 1 na 2 kwa matokeo yangu yote ya kidato cha 5&6.
- Sababu zilizosababisha CCM kumtumia WEMA 2015 na wasanii wengine hazitakuwepo 2020.Wema na wenzake walitumika kwa kuwa CCM ilitaka kuvuta hadhara ya watu kumwaga sera lkn 2020 haitakuwa na sababu ya kutumia wasanii kwasababu itakuwa imetekeleza sera zote ILIZOZINADI , na wananchi wameona kwa vitendo ( VIWANDA itakuwa vimejaa kila kona ya nchi, waliokuwa wanaishi kama MASHETANI (masikini) ambao ni wengi tunatagemea watakuwa wanaishi kama MALAIKA ifikapo 2020.
- Pia wema alitumika na CCM 2015 kwakuwa alikuwa na wafuasi wengi katika mitandao ya KIJAMII (instagram, facebook n.k) lkn kutokana na VIJANA wengi watakuwa busy na AJIRA zitakazokuwa zimemwaga na serikali makini ya CCM kupitia VIWANDA idadi ya wafuasi wa wema ITAKUWA zero wakati huo kwa hiyo CHAMA CHA CCM kitakuwa salama.
- Mwisho wa yote inavyoonyesha wafuasi wengi wa WEMA ni VILAZA kwahiyo kutokana na SERA ya serikali hii ya kuhakikisha inaboresha ELIMU (kufukuza hata wanafunzi waliokuwa mwaka wa pili na watatu vyuoni) tunaamini 2020 hakutakuwa na kilaza wa kumfuata WEMA kwahiyo pia CCM Itakuwa salama
TAFSIRI YA KILAZA
KILAZA SIO CHIZI BALI NI MTU YOYOE AMBAYE HAJAPATA DIVISION 1 NA 2 KWA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE NA SITA .
na mwandishi wa habari hii pia ni kilaza maana sikupata division 1 na 2 kwa matokeo yangu yote ya kidato cha 5&6.