Welcome to Kigali Convention Center

mchambawima1

JF-Expert Member
Oct 16, 2014
2,487
738
Cm1hFAFXgAAYFSt.jpg

Cm1gdg2W8AArjv5.jpg

Cm1gsfDW8AAn7CY.jpg

Cm1hGpaWgAAFpcb.jpg

Cm1js19XYAAWOKN.jpg

Cm1jvXMWAAA6LEu.jpg

Cm1jnqiWIAAGL56.jpg

Cm1jzI-WIAAnPIk.jpg

Cm1sIJ9WEAEZ3LF.jpg

Cm1sU6EWgAAVuIM.jpg

Cm1lmUEWYAAP9SW.jpg

Cm1l1YiW8AQSWIS.jpg

Cm1lpZfXgAAktyt.jpg

Cm1lurjWcAEVHCi.jpg
 
Hawa jama wanajitahidi. Niliona ndani ya hio convention centre kuna bonge la 5 star Hotel ina karibu vyumba 300. Hongera PK
 
Hawa jamaa wanapenda sana maendeleo

Ni kweli, lakini namna ya udikteta ni lazima ili maendeleo yapatikane...Tanzania tuna raslimali nyingi pengine kuliko nchi nyingine barani Afrika, lakini maendeleo yetu yako chini kwa kuwa tuna leadership inayoogopa kuchukua hatua muafaka za kuleta maendeleo....Watu wenyewe wa Tanzania nao ni wavivu, wapika majungu, wana wivu na wanataka vitu vya 'dezo'...utamaduni wetu ni mbaya kabisa kuhusu utendaji wa kazi..kwa Tanzania mkwepa kodi anasifiwa...mwizi kwenye kampuni anasifiwa..usipoiba kwenye kampuni au taasisi wakati una nafasi nzuri wengine watakuona wewe ni mjinga...nafasi za uongozi Tanzania ukipata tunaziita 'mwenzetu ameuchinja', na kwamba 'atakula bata'...Mtanzania akiteuliwa uongozi anafanya 'party' au sherehe kujipongeza kwamba sasa 'umaskini umemtoka'...Watanzania wako tayari kuchangia kwenye michango ya 'harusi' na siyo maendeleo ya kusomesha watoto..hakuna mahali hapa Tanzania utaona watu wachangishana kusomesha watoto wao...Yaani wanachangishana kwa anasa na ufahari...Kiongozi akiwa mkali kwenye kampuni au taasisi anapikiwa majungu na kuondolewa...Kiongozi anayezingatia kanuni na taratibu kwenye taasisi anaitwa mnoko na ambaye hafai na lazima ahamishwe...Sasa Rais wetu JPM anakejeliwa kwa kuitwa 'dikteta' kwa kuwa anataka taratibu zizingatiwe...wanasia wetu ni wanafiki wa kutupwa wawe wa CCM au upinzani wote ni wanafiki tu...shutuma za ukiukaji wa haki Haki za binadamu hapa kwetu Tanzania ni dhidi ya serikali tu na vyombo vyake...Ukiukaji wa haki za binadamu unaofanywa na vyama vya siasa vya upinzani kama kuwamwagia watu tindikali inaonekana ni sawa tu...Watanzania tufanya au kupiga hatua ya maendeleo tu ikiwa tutabadili mindset zetu za utendaji wa kazi na uwajibikaji ndani ya jamii...JPM anataka kuleta mabadiliko ya kweli lakini bado watu wamemzunguka na wameapa kumkwamisha , ushahidi ni teuzi za ma-DC na ma-DED ambapo kilichotokea ni uchuro kwa kuwateua baadhi ya watu wasio na sifa za uongozi wala taaluma...Watanzania wengi wanapiga kelele za demokrasia lakini hata maana ya demokrasia hawajui...wanadhani demokrasia ni kuwatukana viongozi...
 
Umenena vyema.
 
People are just confused, maendeleo ni jambo pana mno. Maendeleo yanayokuja simply kwasababu ya mtu mmoja sidhani kama nikitu cha kujivunia. Huwezi ukakandamiza uhuru wetu eti kwa kulipia maendeleo. Tumeumbwa na free will.
Tanzania has nothing to emulate from the poor dictator as PK.
 
Hivi huo mjengo umejengwa na wachina au?
Nchi yetu kila mijengo tunawapa wachina watujengee.
Ndiyo maana mmhh!!
Walianza kuujenga wachina kagame alipoona wanazingua akawanyang'anya na kuwapa waturuki ndio walioukamilisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom