INAUZWA Welcome To Electronics products Empire

INAUZWA Welcome To Electronics products Empire

Umeandika humu unauza blender ya KENWOOD HEAVY DUTY elfu 95. Nilikupigia ukasema unauza elfu 85. Nilipoanza safari kuja dukani kwako ukabadilika sasa unauza laki 1 na kumi.

Mkuu simu zako umewapa mawinga au ni wewe ndo unatabia za kiwinga. Unasema wewe ndo umechukulia ivo. Bro dollar imeshuka kumbuka. Kuwa na msimamo ufanye biashara. Sikufundishi kazi hiyo ni biashara yako ila unayumba sana.
 
Habar za siku wadau wa huu uzi / page, nipende kitoa angalizo kwa wateja.. namba za muhusika wa huu uzi zipo mwanzoni kabisa mwa hii page Duka Lipo kariakoo mhonda/msimbazi 🙏🏾
 
DIET AIR COOLER 30Liters,
1 Year warranty,
Delivery Available,
Price; 550,000/=Tsh

Call us/ Tupigie>> 0714171341
 

Attachments

  • da55a38b-6f81-43b1-8425-7311835bd8e5.jpeg
    da55a38b-6f81-43b1-8425-7311835bd8e5.jpeg
    179.1 KB · Views: 9
Back
Top Bottom