Wekeni mbele maslahi ya taifa - Waziri Kombo

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,770
Reaction score
1,173
WEKENI MBELE MASLAHI YA TAIFA - WAZIRI KOMBO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amefungua Kikao cha Kwanza cha Baraza la Wafanyakazi la Wizara na kuwasihi wafanyakazi wa Wizara kuweka mbele maslahi ya Taifa.

Mhe. Waziri Kombo ametoa Rai hiyo jijini Dar es Salaam alipozindua Baraza Hilo na kuwapongeza wafanyakazi wa Wizara kwa ushirikiano wanaompatia katika kipindi cha miezi 10 Wizarani

“Nawapongeza kwa utendaji mzuri na wenye tija ambao nimeushuhudia tangu Ninga hapa wizarani, mbali na kufurahishwa na utendaji wenu, ni vyema watumishi wote mkakumbuka kutanguliza maslahi ya Taifa mbele wakati wote mkitekeleza majukumu yenu”. alisema

Pia Mhe Waziri amewasihi wawakilishi wa Idara na Vitengo katika Baraza hilo kuwa wawakilishi wazuri na kupeleka mrejesho wa kikao hicho kwa maafisa wenzao wanaowawakilisha.

Aidha, Mhe. Waziri Kombo amewasihi viongozi kujenga tabia ya kuwajengea uwezo watendaji walioko chini yao ili kuwa na watendaji wenye ubora na ujuzi katika maeneo yao pale ambapo viongozi hao wataenda kufanya majukumu mengine ama kustaafu.

Nao Wajumbe wa Baraza hilo, wamewasilisha hoja mbalimbali kuhusu masuala yatakayosaidia kuiinua utendaji wa Watumishi ikiwemo kuongezwa kwa mafunzo maalum kwa ajili ya kuwanoa Maafisa katika maeneo maalum kulingana na uhitaji wa kazi za kila siku.

Kwa upande wake Afisa Kazi Mkuu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Bi. Honesta Ngoli, amewasihi watumishi wa Wizara kufahamu malengo ya Wizara na kutekeleza vyema majukumu yao ili kuweza kwa pamoja na hivyo kuchangia kufikia malengo ya Taifa.

Baraza hilo pia limehudhuriwa na wawakilishi kutoka Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) Taifa pamoja na Wizara.

publer-1746995142015.jpg
publer-1746995145389.jpg
publer-1746995151355.jpg
publer-1746995149708.jpg
publer-1746995156182.jpg
publer-1746995154529.jpg
 
Attachments

  • publer-1746995147149.jpg
    publer-1746995147149.jpg
    90.3 KB · Views: 22
  • publer-1746995171626.jpg
    publer-1746995171626.jpg
    55.1 KB · Views: 21
WEKENI MBELE MASLAHI YA TAIFA - WAZIRI KOMBO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amefungua Kikao cha Kwanza cha Baraza la Wafanyakazi la Wizara na kuwasihi wafanyakazi wa Wizara kuweka mbele maslahi ya Taifa.

Mhe. Waziri Kombo ametoa Rai hiyo jijini Dar es Salaam alipozindua Baraza Hilo na kuwapongeza wafanyakazi wa Wizara kwa ushirikiano wanaompatia katika kipindi cha miezi 10 Wizarani

“Nawapongeza kwa utendaji mzuri na wenye tija ambao nimeushuhudia tangu Ninga hapa wizarani, mbali na kufurahishwa na utendaji wenu, ni vyema watumishi wote mkakumbuka kutanguliza maslahi ya Taifa mbele wakati wote mkitekeleza majukumu yenu”. alisema

Pia Mhe Waziri amewasihi wawakilishi wa Idara na Vitengo katika Baraza hilo kuwa wawakilishi wazuri na kupeleka mrejesho wa kikao hicho kwa maafisa wenzao wanaowawakilisha.

Aidha, Mhe. Waziri Kombo amewasihi viongozi kujenga tabia ya kuwajengea uwezo watendaji walioko chini yao ili kuwa na watendaji wenye ubora na ujuzi katika maeneo yao pale ambapo viongozi hao wataenda kufanya majukumu mengine ama kustaafu.

Nao Wajumbe wa Baraza hilo, wamewasilisha hoja mbalimbali kuhusu masuala yatakayosaidia kuiinua utendaji wa Watumishi ikiwemo kuongezwa kwa mafunzo maalum kwa ajili ya kuwanoa Maafisa katika maeneo maalum kulingana na uhitaji wa kazi za kila siku.

Kwa upande wake Afisa Kazi Mkuu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Bi. Honesta Ngoli, amewasihi watumishi wa Wizara kufahamu malengo ya Wizara na kutekeleza vyema majukumu yao ili kuweza kwa pamoja na hivyo kuchangia kufikia malengo ya Taifa.

Baraza hilo pia limehudhuriwa na wawakilishi kutoka Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) Taifa pamoja na Wizara.

View attachment 3331399View attachment 3331401View attachment 3331405View attachment 3331404View attachment 3331409View attachment 3331410
Stupid. Kweli nyani haoni kundule!
 
Yeye mwenyewe anatembelea Upepo wa Mzee wao Sheikh Thabit Kombo Jecha.
 
Yeye kwanza aangalie saana mabalozi huko nje wanavyofanya kazi zao
Wengi wao hawana uhusiano wowote na Diaspora katika ncho zao
Hakuna mikutano wala mawasiliano nao
Waziri Kombo waombe mabalozi wakupatie record za wana Diaspora
 
Maslahi ya taifa si kuteka, kuumiza na kuua waTanzania
Waziri anamjuwa asiyeweka maslahi ya nchi mbele.
Maslahi ya nchi hayana uhusiano wowote na kuwanyima wananchi HAKI yao ya msingi ya kuwachagua viongozi wanaowataka wao.
 
Yeye mwenyewe anatembelea Upepo wa Mzee wao Sheikh Thabit Kombo Jecha.
Sijui kwa nini, lakini namwangalia huyu waziri kuwa tofauti kidogo na hao wengine kama akina Kabuti Kalamaganda, Kititila Mfuata Mkumbo, na karibu baraza lote. Uchawa wake, pamoja na kuwa ni Mzanzibari hauonyeshi kijingajinga sana kama hao.
Na huwezi kumlinganisha na Makamba wa Mwezi.

Huyu ungemweka kwenye Baraza 'competent' angeonyesha uwezo mzuri. Mzee Thabiti Kombo hakuwa na maneno mengi. Nadra sana kumsikia akizungumza.
 
WEKENI MBELE MASLAHI YA TAIFA - WAZIRI KOMBO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amefungua Kikao cha Kwanza cha Baraza la Wafanyakazi la Wizara na kuwasihi wafanyakazi wa Wizara kuweka mbele maslahi ya Taifa.

Mhe. Waziri Kombo ametoa Rai hiyo jijini Dar es Salaam alipozindua Baraza Hilo na kuwapongeza wafanyakazi wa Wizara kwa ushirikiano wanaompatia katika kipindi cha miezi 10 Wizarani

“Nawapongeza kwa utendaji mzuri na wenye tija ambao nimeushuhudia tangu Ninga hapa wizarani, mbali na kufurahishwa na utendaji wenu, ni vyema watumishi wote mkakumbuka kutanguliza maslahi ya Taifa mbele wakati wote mkitekeleza majukumu yenu”. alisema

Pia Mhe Waziri amewasihi wawakilishi wa Idara na Vitengo katika Baraza hilo kuwa wawakilishi wazuri na kupeleka mrejesho wa kikao hicho kwa maafisa wenzao wanaowawakilisha.

Aidha, Mhe. Waziri Kombo amewasihi viongozi kujenga tabia ya kuwajengea uwezo watendaji walioko chini yao ili kuwa na watendaji wenye ubora na ujuzi katika maeneo yao pale ambapo viongozi hao wataenda kufanya majukumu mengine ama kustaafu.

Nao Wajumbe wa Baraza hilo, wamewasilisha hoja mbalimbali kuhusu masuala yatakayosaidia kuiinua utendaji wa Watumishi ikiwemo kuongezwa kwa mafunzo maalum kwa ajili ya kuwanoa Maafisa katika maeneo maalum kulingana na uhitaji wa kazi za kila siku.

Kwa upande wake Afisa Kazi Mkuu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Bi. Honesta Ngoli, amewasihi watumishi wa Wizara kufahamu malengo ya Wizara na kutekeleza vyema majukumu yao ili kuweza kwa pamoja na hivyo kuchangia kufikia malengo ya Taifa.

Baraza hilo pia limehudhuriwa na wawakilishi kutoka Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) Taifa pamoja na Wizara.

View attachment 3331399View attachment 3331401View attachment 3331405View attachment 3331404View attachment 3331409View attachment 3331410
Hatuwezi kuweka mbele maslahi ya taifa linaloongozwa kihuni!
 
Back
Top Bottom