Weke zetu leo mtusamehe

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,393
Reaction score
1,462
Kichwa cha mada cha kihusike wakuu

Kwa mvurugo huu wa mei mosi pale uwanja wa Jamhuri lringa hakuna leo mtumishi wa umma atakayeweza kudindisha. Mechi za pale ngumu sana...aiseeehhhh

Wake zetu mtusamehe kwa leo.....mimi ntarudi saa saba home
 
Duh nimejikuta tu nacheka. Kwani hakuna watumishi wanawake au nao watafanya nini leo?
 
Kwavile Mkulu kagoma kuongeza na wewe umeamua kumgomea wife?
 
Kichwa cha mada cha kihusike wakuu

Kwa mvurugo huu wa mei mosi pale uwanja wa Jamhuri lringa hakuna leo mtumishi wa umma atakayeweza kudindisha. Mechi za pale ngumu sana...aiseeehhhh

Wake zetu mtusamehe kwa leo.....mimi ntarudi saa saba home

iringa hakuna uwanja wa jamhuri
 
Ujikute ni shabiki wa Bayern Munchen, hutakiwi kurudi nyumbani kabisa usije kuua bila kukusudia
 
Kichwa cha mada cha kihusike wakuu

Kwa mvurugo huu wa mei mosi pale uwanja wa Jamhuri lringa hakuna leo mtumishi wa umma atakayeweza kudindisha. Mechi za pale ngumu sana...aiseeehhhh

Wake zetu mtusamehe kwa leo.....mimi ntarudi saa saba home
Uwanja wa SAMORA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…