ormystatus
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 262
- 464
Kalegeza mkanda
Nipo Dsm mzigo unatoka mafia Dakika 40 tu kwa ndege.Upo mkoa gani?
Nipo Dar, mzigo unatoka mafia dakika 40 kwa ndege.Unauza kutokea wapi ndugu?
Mikoani hatuna matawi, tasi weka oda utafutiwe, Weka oda samaki yoyote unayemtaka.Tasi unao? Kilo unauzaje? Upo sehemu gani? Mikoani una matawi?
Samahani, nimeweka namba ya Simu hapo, tuma meseji au nipigie muda wowote napokea.Au ulikuwa unatania maana hujibu maswali
Sina physical address ya biashara, Ukihitaji kukutana tunaweza weka appointment tuongee biashara.Weka location hapa tukutafute kwa njia zetu wenyewe.
Haina haja kupigiana pigiana simu na meseji.
Sina physical address ya biashara, Ukihitaji kukutana tunaweza weka appointment tuongee biashara.
Karibu sana.
Gharama yake Ths ngapi kwa Kilo? Je Dar sehemu gani?Mikoani hatuna matawi, tasi weka oda utafutiwe, Weka oda samaki yoyote unayemtaka.
mikoni gharama ya usafiri juu yako.
Nipo DAR, mkoani usafiri juu yako.Kama upo maeneo ya Babati nahitaji kilo 1
Physical address ya biashara sina, lakini mimi napatikana Ubungo.Gharama yake Ths ngapi kwa Kilo? Je Dar sehemu gani?