Weka neno lako kwa hii picha aisee

Weka neno lako kwa hii picha aisee

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
6,249
Reaction score
5,933
255789546070.jpg
 
Anathibitisha ubora mwenyewe, hataki vya kuambiwa na kudanganywa.
 
Yaani huko kaburini alikuwa ameamka kusubiri ccm wakiuke wasia wake, sasa karudi kulala baada ya kushushiaa mvinyo kidogo na kusema kuwa mimi bado ni mtawala wa Tanzania haijalishi nipo kwa kaburi.


Zidumu fikra za mwalimu.
 
Back
Top Bottom