Weka neno lako kwa hii picha aisee

Weka neno lako kwa hii picha aisee

255789546070.jpg

Viwaini vya siku hizi bana, stimu ya taaaaaabu ngoja nikandamizie na ka-KILI kwa mbaaaaaali!
 
Rais Nyerere Akichanganya Vilevi Viwili Tayari Kabisa Kwenda Kumcharaza Viboko Mwanafunzi Wake Mtukutu Aitwae Samuel Sitta Baada Ya Kusababisha Mgomo Wa Wanafunzi Katika Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Jana Ikulu. ( Picha Na Gentamycine Wa JF )
 
'Samwel samwel hivi kwenu mnakunywaga maziwa na siagi kweli?'😕
 
Rais Nyerere Akichanganya Vilevi Viwili Tayari Kabisa Kwenda Kumcharaza Viboko Mwanafunzi Wake Mtukutu Aitwae Samuel Sitta Baada Ya Kusababisha Mgomo Wa Wanafunzi Katika Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Jana Ikulu. ( Picha Na Gentamycine Wa JF )

Hahahaa, nimeipenda iyo ya kwenye mabano aseee, thafiiiiii.
 
Back
Top Bottom