Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,286
- 13,460
Mke mwenza unakumbuka mara ya mwisho zilikuwa zinakubana hizi za 58 basi naleta 62 kabisa mke mwenza rangi ya ugoro najua we kufua hupendi
Mkuu njoo utake pouse hapa.Hali si shwari hata kidogo
Mke mwenza unakumbuka mara ya mwisho zilikuwa zinakubana hizi za 58 basi naleta 62 kabisa mke mwenza rangi ya ugoro najua we kufua hupendi
mkuu njoo utake pouse hapa.. Hali si shwari hata kidogo
Mke mwenza unakumbuka mara ya mwisho zilikuwa zinakubana hizi za 58 basi naleta 62 kabisa mke mwenza rangi ya ugoro najua we kufua hupendi
Swaakta....na nyeusi ukipata
Swaakta....na nyeusi ukipata
nyeusi tena hapana naleta ya rangi ya ugoro.. brauni... na damu ya mzeee
hyo swaakta ndio nn?..
leta hizohizo mke mwenza
haya mke mwenza kesho jion nitampa mume wetu akuletee kesho zamu yakp jiandae
nipo hapa nipe nimpelekee
size 42
Hapana ni size 56
let me keep it, colour gani unapendelea...?
kijani
hizi za mtumba sivai aisee
kijani kama ya sisiem...?
Mbona ile nyeupe niliyokununulia ni ya mtumba na unavaa kila siku?