Weka neno hapo

Weka neno hapo

Wabongo bhana, kumchagulia mke sidiria ni ubwege lakini kumhonga hawara gari au nyumba ni upedeshee
 
lakini zinadumu sana na kuvumilia katika mazingira magumu hasa ukipata za kijerumani!

Hadi chupi na bra nivae mwaka mzima hapana acha tu za dukani kila baada ya miez mitatu ninunue ingine
 
Mke mwenza unauliza nini tena wakati huwa tunafanya shopping pamoja?

Mke mwenza unakumbuka mara ya mwisho zilikuwa zinakubana hizi za 58 basi naleta 62 kabisa mke mwenza rangi ya ugoro najua we kufua hupendi
 
Back
Top Bottom