Weka mbali na watoto

23ff190dc8c53a27097208576a5c0526.jpg

Cc: mahondaw
Hivi kwanini zinabebwaga kwenye meli wakati zinaweza kupaa
 
Ni kwa sababu zinatumika pale zinapohitajika tu... Zaidi ya hapo zinatulia kwa sababu ni gharama sana kuziendesha kutoka zilipo mpaka kwenye enea la tukio.

Ukiacha hayo... Pia hizo siyo commercial airline useme zina specific destination... Zikitumiwa kwenda kupiga/kushambulia mahali haitaletaa maana, kwamba mfano zisafiri umbali wote toka USA mpaka korea zipigie alafu zirudi tena USA kwa ajili ya reload zirudi tena kupiga ni gharama sana...

Ndiyo maana hizo meli siyo tu hutumika kuzibeba bali pia ni base station inayojitosheleza kwa kila kitu.

Nini iko tena Smart911 mylove ??
 
Asante mkuu.... hatari sana haya madude
 
Huo moto kwenye engine unatokana na nini mkuu?
Kuna kitu kinaitwa "after burning" kwenye hizi ndege zinazowezeshwa na Jet engine na hicho ndo unachokiona hapo kama moto
Baada ya hatua zoote za kuzalisha nguvu ya engine ule moshi/exhaust gas unaotoka ambao joto lake ni kubwa sana huchanganywa na mafuta tena ili kuzalisha nguvu zaidi ya msukumo wa hewa hivyo kusaidia ndege kwenda mbele kwa kasi kubwa zaidi.
 
Nini iko tena Smart911 mylove ??
Hizo ni:
Ndege za kijeshi/kivita zilizotengenezwa mahususi kwa matumizi ya mashumbulizi ya kivita iwe ya anga kwa anga na ndege zingine au yawe ni mashambulizi ya ardhini...

Zina kasi ya hali juu sana, zimetengenezwa kwa technology ya hali ya juu na hata zinaweza kujazwa mafuta zikiwa angani... Pia zinauwezo wa kuendeshwa vyovyote, iwe juu chini, iwe ki ubavu, vyovyote...

Zipo tayari kwa mashambulizi muda wowote ule, mahali popote pale, kwenye hali ya hewa yoyote ile...

779b0df19c16b2f90c098626a46fbdb7.jpg
 
Hii pia ni fighter..au black hawk ni nini
Black Hawk ni helicopter inayotumika ki-mkakati zaidi.. Kwenye mission zinazotaka umakini wa hali juu sana bila kuleta attention yoyote na kwenye mazingira yoyote... Ni helicopter ya kivita/jeshi

Pia hutumika kupeleka wanajeshi kwenye maneno yasiyofikika kirahisi, kuokoa misha ya watu, kuhamisha watu, kupeleka huduma ya kwanza kwenye majanga, ingawa nayo imetengenezwa kijeshi na ipo tayari kwa shambulio lolote lile.. Hutumika hata kwenye doria zinazohitaji uangalizi wa kijeshi...

mMkuu ndio hii ilitumika kwenye mission ya kumdaka Osama ambayo ina silence mode?
 
Yes ni Black Hawk Helicopter lakini siyo kama hizi tulizozizoea kuziona. Zile zilikuwa more advanced. Ile ilikuwa ni modified Sikorsky Black Hawk,technology yake ni ya siri sana.

Zile ziliongezewa uwezo wa kuzuia makelele kabisa kutoka kwenye engine zake au sehemu yoyote yake. Zilikuwa silence kabisa. Na endapo zitatoa sauti basi ile sauti itasikika imetokea mbali sana wakati ipo hapo hapo, imepachikwa kifaa cha kudanganya sauti, hutengeneza sauti ya ndege isikie kama inaondoka na kutokomea wakati ndiyo kwanza imefika na inajiandaa kutua, endapo itatoa sauti... Kwa sababu ni siri endapo ita feli mission, hulipuliwa/kuharibiwa hapo hapo kupoteza ushaidi...

Kwenye operation ya kumngoa Osama. Kuna moja bahati mbali ilitua vibaya na kuharibika, ika haribiwa hapo hapo na wenyewe... Ila kuna mabaki yalibaki na picha kuchukuliwa...

Kwa hizo picha tu wachina waliweza kutengeneza kama ile... Ila marekani washabadilisha na kutengeneza nyingine...

a055e08ed409e50c6d17239a8b0525d6.jpg

Cc: mahondaw
 
mMkuu ndio hii ilitumika kwenye mission ya kumdaka Osama ambayo ina silence mode?
Hakuna kitu kinaitwa silence kwenye ndege bali kuna mfumo unaitwa idle...isipokuwa hicho unachotaka kujua kuhusu ukimya/noiseless hutokana na muundo wa Propeller blades na namna gani zimepachikwa/fixed kiufupi propeller fastened
 
funguka zaidi mkuu...sijaelewa unasema hakuna kitu silence mode
 
Back
Top Bottom