Inasikitisha sana tena sana, wewe fikiri kwa makini ni kitu gani kikipakwa mate kinateleza kama nyoka pangoni?..... Hii ndiyo aina ya misemo vijana wetu na watu wazima waliopotoka wanapenda kuisikia, wakisikia basi wanatabasamu, wanafurahi, wanacheka mioyo yao iliyojaa uzinzi inasuuzika, na kufarijika; na ndiyo maana wanamuziki wazinzi kama Diamond wanaitumia sana hii misemo kwenye nyimbo zao sababu wanajua ni nini hii jamii iliyopinda inataka.