Weka maneno kwenye picha hizi

Weka maneno kwenye picha hizi

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,814
Tiririka
hips.jpg
 
picha ya kwanza huyu alitaka kufanya photoshop ya kuongeza hips sasa mtengenezaji akaongeza hadi ya MLANGO duuuh hataree
 
Alikuwa mzuri ila bahati mbaya alipoanza kufanya kazi za ndani bosi wake akawa anamuunguza na pasi ma.ta.ko.ni la alipata ajali sasa sura ikaharibika na wakachukua nyama ya ---- ili waripee uso mweee kama mchina hajahusika.... asalalee
 
Pole pole mbavu zangu my dear
 
Jamani wadada hamna short-cut ya uzuri (kama kweli ma-HIPS ni uzuri)
 
wadada punguzeni ma-chemical kwenye miili yenu kwa raha za muda mfupi. Pia bbadhi yenu mnatumia SHABU ili kutengeneza BIKI.RA jamaniii!! Hii ni hatari sana kwa maungo yenu. Mungu alikuumba vizuri na katika uwiano ulio sawa sasa wewe unataka kujiongeza tena na tena ili iweje? Kama kupendwa mtu atakupenda vile ulivyo hakuna haja ya wewe kujiongezea MAKALIO sijui BIK.IRA.
 
Back
Top Bottom